Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
si hazina shida yoyote??Midrange, camera na display vizuri kiasi chake, sema inakaa na chaji sana, ni ndogo kiumbo na Bei kitonga ikiwa used.
Hata kama simu Haina shida ila kwenye refurbished ina shida.si hazina shida yoyote??
ina chipset ghan?Nina R6 shida ninayo iona ni kupata Moto ukiitumia muda mrefu hasa kama mpenzi WA kucheza game. Ila ni simu nzuri sana
Kuhusu game ndo kwenyewe sasa daah basi niendelee na hii infinix note 30 yanguNina R6 shida ninayo iona ni kupata Moto ukiitumia muda mrefu hasa kama mpenzi WA kucheza game. Ila ni simu nzuri sana
Aqous zero 6 ni flagship iyo, yakwako haisumbui chochote zaidi ya battery?Nimechukua Aqous Zero 6 ila Naona kama sio simu itunzayo umeme kama ambavyo napendaga. Mini ni heavy user
Nimeona kama inapururuka Sana chargeAqous zero 6 ni flagship iyo, yakwako haisumbui chochote zaidi ya battery?
Game izo? Ila camera kaliNimeona kama inapururuka Sana charge
Kamera ya kwenda, mi sichezi games mkuu Sana Sana browsing ila nashangaa sijui ni optimization ya simu haiko vizuri ama nini. Nafikiria kwenda kui swap na Xperia 10 mark III japo Sony kimuonekano ni ndogo compared na hiiGame izo? Ila camera kali
Kumbe ilikuwa flagship phone hii. Sema spec wise hawa SHARP wako vizuri sana kwenye soko la simu zetu za ki Dubai. Google pixel ya specs hizi inauzwa bei ghali Sana.Aqous zero 6 ni flagship iyo, yakwako haisumbui chochote zaidi ya battery?
Kwa spec izo kwa kampuni zingine ni simu ghalu mnoo, shusha hata 3G ukiwa unatumia normal tuKumbe ilikuwa flagship phone hii. Sema spec wise hawa SHARP wako vizuri sana kwenye soko la simu zetu za ki Dubai. Google pixel ya specs hizi inauzwa bei ghali Sana.
Nimejaribu kuiondoa kwenye Band ya 5G nimeweka 4G Acha nione kama itasaidia maana nayo inameza bando sio mchezo.
Nilitaka chukua hii ila nikavutiwa zaidi na binamu yake SHARP AQUOS.Midrange, camera na display vizuri kiasi chake, sema inakaa na chaji sana, ni ndogo kiumbo na Bei kitonga ikiwa used.
Haisumbui chochote?? Maana nilitakaga kuchukua hiiMidrange, camera na display vizuri kiasi chake, sema inakaa na chaji sana, ni ndogo kiumbo na Bei kitonga ikiwa used.
Ipo Aquos yenye same soc sd 690 ambayo kiutendaji haitotofautiana na hio Sony, Sharp Aquos sense 5G. Midrange inayokaa na chaji. Kama lengo ni simu isiyopata joto, inayokaa na chaji bila kujali camera na perfomance basi inafaa.Nilitaka chukua hii ila nikavutiwa zaidi na binamu yake SHARP AQUOS.
Inategemea mkuu unataka nini xperia 10 iii ni midrange wakati inatoka na kwa sasa ni lowend kabisa kitu kinachoitofautisha hii simu inakaa sana na chaji, pia ina usb 3.1 unaweza kuitumia kama "deki" kwenye tv yako ukaangalia mpira, movies etc.Haisumbui chochote?? Maana nilitakaga kuchukua hii