MJUMBE WA AMANI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 262
- 238
Nadhani hujanielewa mkuu,....mimi naamini maisha ya kiliberali kuliko ya conservative.sasa kama unataka nikubali katiba yako na wewe kubali katiba yangu.. mimi nitaacha fb na pombe, na wewe usisuke unyoe upara, usijirembe usoni na usivae kokoko, uvae sendo tu.