Sharti la kwanza jitoe JF na FB

sasa kama unataka nikubali katiba yako na wewe kubali katiba yangu.. mimi nitaacha fb na pombe, na wewe usisuke unyoe upara, usijirembe usoni na usivae kokoko, uvae sendo tu.
Nadhani hujanielewa mkuu,....mimi naamini maisha ya kiliberali kuliko ya conservative.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…