INAUZWA Shati kali za H&M / 100% original zinauzwa

INAUZWA Shati kali za H&M / 100% original zinauzwa

Joined
Apr 18, 2017
Posts
86
Reaction score
57
Shati kali sana, kwa bei nafuu / Only 30k TZS
Mwenge, Dar es Salaam - Mkoani tunatuma (juu ya mteja)

CALL: +255688141992 / WHATSAPP: +255676095799

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg
 
Attachments

  • Adjustments.jpg
    Adjustments.jpg
    70.4 KB · Views: 2
  • Adjustments.jpg
    Adjustments.jpg
    98.6 KB · Views: 2
  • Adjustments.jpg
    Adjustments.jpg
    91.6 KB · Views: 2
  • Adjustments.jpg
    Adjustments.jpg
    111.7 KB · Views: 2
Nyonyoma hizi zinawaka motooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alaaaa mtu mbad naziendea za sidooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aseeee sokapa

Mtu mbadi unakwamisha michongo support movement za wana... Nitakutumia za TOMMY na ZARA sasa ambazo haziwaki moto mtu mbadi... Sokapo hapa [emoji23]
 
Du hizi shati ungepeleka minadani zingetoka haraka
 
Du hizi shati ungepeleka minadani zingetoka haraka
Mkuu zingetoka kwa 30,000/= kweli? Watu kama maprova tu ya elf 15 watu wanagwaya kununua. Anyway ila mm bajet yangu ya kuvaa kitu cha gharama ntakachovaa n sulual tu la 18,000 mbali na hapo vyote vinachezaga -10,000😆😆
 
Vunja bei anawapa kiburi eeh
 
Vunja bei anawapa kiburi eeh
Nikiingia sido saa 11 asubh navikuta viatu vikali vya sh 5000 ambavyo ukienda mchana unakuta vinauzwa had 20,000/= na kuna wanaobahatikaga anaokota kiatu ya 5000 kumbe bei yake n had 90,000. Nmewashuhudia wengi. Kuna jamaa alinunua cha 7000 wahuni wakakijua ni cha bei ndefu, wakamwomba awauzie kwa 15,000 jamaa akashangaa sanaa mara wakaja wengine wakakichukua kwa 40,000. Kiatu kikali. So mm nikiwa na shida za viatu huwa nawahi tu saa 11 ashb sidooo🤣🤣
 
Back
Top Bottom