TIASSA
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 2,926
- 3,530
Hapo sawa mkuuNikiingia sido saa 11 asubh navikuta viatu vikali vya sh 5000 ambavyo ukienda mchana unakuta vinauzwa had 20,000/= na kuna wanaobahatikaga anaokota kiatu ya 5000 kumbe bei yake n had 90,000. Nmewashuhudia wengi. Kuna jamaa alinunua cha 7000 wahuni wakakijua ni cha bei ndefu, wakamwomba awauzie kwa 15,000 jamaa akashangaa sanaa mara wakaja wengine wakakichukua kwa 40,000. Kiatu kikali. So mm nikiwa na shida za viatu huwa nawahi tu saa 11 ashb sidooo🤣🤣
Ila nguo za mtumba Mimi nishaghairi unaweza ukawa na beg tatu ya mtumba hamna hata moja inamaana