INAUZWA Shati kali za H&M / 100% original zinauzwa

INAUZWA Shati kali za H&M / 100% original zinauzwa

Nikiingia sido saa 11 asubh navikuta viatu vikali vya sh 5000 ambavyo ukienda mchana unakuta vinauzwa had 20,000/= na kuna wanaobahatikaga anaokota kiatu ya 5000 kumbe bei yake n had 90,000. Nmewashuhudia wengi. Kuna jamaa alinunua cha 7000 wahuni wakakijua ni cha bei ndefu, wakamwomba awauzie kwa 15,000 jamaa akashangaa sanaa mara wakaja wengine wakakichukua kwa 40,000. Kiatu kikali. So mm nikiwa na shida za viatu huwa nawahi tu saa 11 ashb sidooo🤣🤣
Hapo sawa mkuu
Ila nguo za mtumba Mimi nishaghairi unaweza ukawa na beg tatu ya mtumba hamna hata moja inamaana
 
Hapo sawa mkuu
Ila nguo za mtumba Mimi nishaghairi unaweza ukawa na beg tatu ya mtumba hamna hata moja inamaana
Mkuu ww maisha yako huenda yameenda mbele kidg😁, mf mm mwaka 2020 umepita wote bila kununua nguo ata moja, sasa kama hizo mitumba cjui ningekuwa naonekanaje😆😆
 
Aah umezidi kuwa stingy bana😀😀 ila ni vizuri tutajenga ghorofa😛
Waoo, unajua n furaha sana kupata mke anayekusapoti panapohitajika, na anakuchalenji kukupima akili yako, as u did😆😆, me always ntakuwa nakuita my financial support 😆😆😆,
 
H&M kama H&M au kuna usanii? We umezitoa wapi nguo za H&M?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki comments[emoji119][emoji119]
 
Ndio boss, kama unaelewa H&M brand ni the best quality

Hamna kitu kama hicho hyo ni brand ambayo wanavaa watu masikini ulaya na marekani siyo brand ya kumuogopesha binadanu ambaye anatoka katika dunia ya kwanza ila kwa kibongo bongo ni bora kuliko midosho ambayo tunauziwa kariakoo.
 
Sawa mkuu [emoji1488]
 
punguza sifuri moja kwenye izo bei, then nicheki piiem
 
Mtu mbadi unakwamisha michongo support movement za wana... Nitakutumia za TOMMY na ZARA sasa ambazo haziwaki moto mtu mbadi... Sokapo hapa [emoji23]
Hivi Sokapo ni nini au jamaa kapata mkataba na Sokapoa Mtumbadi fala sana.
 
Back
Top Bottom