Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeeeh ndio wapwa wajue utamu wa kula vya watu!!!!.Jamani shem kwanza za asbuhi,
Hii thread si ungeweka kwenye mambo ya kikubwa! Hizi picha hadharani jamani?
Jamani shem kwanza za asbuhi,

mmh inatisha ...siangalii mala mbili
Jamani shem kwanza za asbuhi,
Hii thread si ungeweka kwenye mambo ya kikubwa! Hizi picha hadharani jamani?
Salama shem, habari za matesha? usihofu hili onyo ni kwa mkubwa na mdogo akuwe akijua akionja tu analo hii ni adhabu tosha kwa VIWEMBE na DUNGADUNGA.

Hii inatisha, nimeogopa natetemeka kwanini adhabu kali hivyo, amuhurumie atashindwa kutembea, maskini mke wamtu sumu kali sana.