Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Oya mi siyo mzee ila nawachana tu wabadilike
Vinapatikana sana mi nipo manzese Dar hapa masoko yote hapa unapata .Tatizo siyo kula ila tatizo ni upatikanaji
Ee bhanaNiny wazee msipige sana kelele, na ninyi kabla yenu mababu walikula nyama za kuwinda tu, mbna ninyi mlianza kula mboga ? Na kufuga ? Heb kubalin dunia inabadilika msitupigie kelel sana
Tunafeli wapi nyakati hizi vijana wenzangu wengi pulingi haipo.vyakula,eneneji na pombe kali zinatumaliza.Kiongozi naona unataka kuturudisha Zama za Kati za Mawe tu ambapo Wazee wetu waliishi Kwa kuwinda na kula matunda tu 🙌
Yeah ni kweli MkuuTunafeli wapi nyakati hizi vijana wenzangu wengi pulingi haipo.vyakula,eneneji na pombe kali zinatumaliza.