- Thread starter
- #41
Hongera kwa kuoa Brand new 0 Kilometre
Ahsante mkuu ila sasa kila nkikanyaga mafuta gari haliendi[emoji23] hahah zero kilometer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuoa Brand new 0 Kilometre
Yeah hiyo hali unayosema ipo na ni kushukuru tu amejitunza mpk that age the issue ni kwamba bikra jinsi inavyozidi kukaa na kuitoa pia inazidi kuwa ngumu if you are strong and tough enough itoe mwenyew lkn kama itashindikana chukua tu hiyo procedur
Miaka 30+ amekwepa mishale mingapi ndugu yangu, kuna wanawake wanamsimamo aisee.. Niliforce sana, ila nilifail nkaona sio kesi, anafanya kazi ya heshima sana, elimu kubwa kama tumbo la lekibamiaz.. pesa ipo mie nkawa natumbua tu na michepuko yangu. Na mimi nilimpenda, yupo vzuri sana basi nkawa mpole mpaka ndoa. Michepuko nimepiga chini yote nipo na mama mjengo tu ila sasa ndo balaa lingine hilo.
Gari mpya inatunzwa sana, usisikilize maneno ya watu. Fuata ushauri wa daktari.Ahsante mkuu ila sasa kila nkikanyaga mafuta gari haliendi[emoji23] hahah zero kilometer.
Umetisha mkuu. Vp hana dada yake design ya mgodi na mie nijiweke?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah mkuu nakushauri usukumize tu tumia gear no 1 hafu weka 4wheel drive hii haikwami hata kwenye mawe itapita tu.
Picha mkuu
Hapana Mkuu, usifanye hivyoHahaha au nirudi rivasi nini[emoji12]
Rivasi hautafanikiwa kazi yako nenda mbele.Hahaha au nirudi rivasi nini[emoji12]
hujambo mdogo ake middleShkamoo
Sijambo, umeadimika kinyama. Kulikoni?hujambo mdogo ake middle
nalea newborn mdogo wanguSijambo, umeadimika kinyama. Kulikoni?
Hongera sana dada. Ngoja nije PM tufanye mpango hata wa kuja kumuona unclenalea newborn mdogo wangu