Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
karibu sanaHongera sana dada. Ngoja nije PM tufanye mpango hata wa kuja kumuona uncle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu sanaHongera sana dada. Ngoja nije PM tufanye mpango hata wa kuja kumuona uncle
unahisi au anayo?Nahisi ana Imperforate hymen.
KY ndo mwisho wa matatizo, wee inunue tu utaleta mrejesho
unahisi au anayo?
Miaka 30+ amekwepa mishale mingapi ndugu yangu, kuna wanawake wanamsimamo aisee.. Niliforce sana, ila nilifail nkaona sio kesi, anafanya kazi ya heshima sana, elimu kubwa kama tumbo la lekibamiaz.. pesa ipo mie nkawa natumbua tu na michepuko yangu. Na mimi nilimpenda, yupo vzuri sana basi nkawa mpole mpaka ndoa. Michepuko nimepiga chini yote nipo na mama mjengo tu ila sasa ndo balaa lingine hilo.
Inawezekana waliokuwa wanagusa walichemka kama Mr wake(just thinking) hymen ikaendelea kuwepo.usijaribu kuchana na wembe au mkasi utatafuta makubwa zaidi kwa mkeo. ninachoshauri fanya nae mazoezi ya viungo kama wiki mbili hivi alaf uone kama itashindikana ila mazoezi hayo yawe yanahusu sana upanuaji wa miguu ila usianze kumtanua miguu kabla ya kurukaruka kuruhusu mwili upate uchangamfu na ikiwezekana fanya nae hata mazoezi ya kuendesha baiskeli duuh ila salute kwake miaka 30+ hajaguswa aisee
duuuh ..kitaalamu hiyo tunaita ana imperforated hymen...Kama kichwa kinavyosomeka (Sorry nimeshindwa kuandika kwa kiswahili).
Error: Hymen*
Huyu binti ana 30+yrs na hajawahi kufanya mapenzi (Sababu ni imani yake, no sex mpaka ndoa) sasa nimemuoa ni mwezi 1 sasa ila ndani ya ndoa hajawahi kupata penis penetration.
Kabla ya ndoa niliheshimu sikuwahi kushiriki nae hio kitu zaidi niliendelea na michepuko yangu mpaka siku ya ndoa ikafika ndo ikafungwa zen tukafly kwenda kwenye honeymoon ambayo niliiandaa kwa muda kidogo maana ilikuwa ni gharama kidogo sasa na nilifanya hvo ili kumfurahisha na kumpongeza kwa kujitunza.
Kwenye honeymoon sasa, mzee nafurahi leo naenda kufanya tendo la ndoa tena takatifu tena mbali kabisa na nyumbani ila hali ikawa tofauti.
Ikawa Nikigusa tu hymen anapata maumivu makali sana, kiasi cha kushindwa kuvumilia. she can’t handle the pain kabisa. Ikabidi nimkague mbona penis haiingii hata kama ni virgin sio kwa hali ile (Nishawahi kutoa bikra za wadada 3 before).
Ikabidi nianze kuangalia vzuri, baada ya kukagua sana nkagundua kwamba hakuna njia kabisa, papo flat kabisa ni kama ngozi ya kiganja.. je unaweza ukapenyeza penis afu ichane ngozi ya kiganja? Nilijiuliza, baada ya kuzoom vzuri nkaona kitundu kidogo sana sana. Ikabidi tuanze kuongea kwamba anapataje heshi, akasema huwa anaumwa sana na damu huwa inatoka kidogokidogo sana. Usiku ule uninishangaza sana, kabla ya ndoa nilijua kuutumia ubachelor ila sasa nmepatikana maana sijawahi kuona hali hii.
Back to me, sina penis hiivooo ni 6.5 inch kwa urefu na round ni 5.5 inch hata kama sio huge hvo how can it penetrate kwenye kitundu kidogo, nilitafakari usiku mzima.
Basi ilibidi kesho yake turudi home na akaende kuonana na gynecologist (private hospital) akafanyiwa vipimo akaonekana hana tatizo ndani (kwenye mfumo wa uzazi) ila juu ni hio tissue tu.. gyno akapitisha kidole kwenge kitobo kidogo sana ambayo ndio inayopitisha damu (hedhi). Wife alipatwa na maumivu sana na akaambiwa kwamba hana shida aendelee tu na just one kick patafunguka vzuri.
Alirudi anaumwa kabisa nadhani ni baada ya kuguswa juu kwenye kile kitobo,
What i did is to make her feel comfotable and relax.. zen nkaamua kujaribu and this time nkapush just one heavy kick kuona kama zoezi linaweza fanikiwa. Oooh gosh! Alisikia maumivu makali sana sana! I felt her pain too maana alilia sana sana na zoez halikufanikiwa. Kama mwanaume mwenye uchu sikuacha nilipambana sana ila katobo ni kadogo sana kama tundu la mkojo kwa sisi wanaume.
Tatizo nkaanza kuliona ni kubwa sasa Ikabd aende nation hospital akaonane na gynecologist hapo ni baada ya kujaribu mara nyingi sana bila kufanikiwa(najua huwez kunielewa ila kelele anazopiga ni kama anabakwa mpaka naamua kuacha maana unawezaje kumuumiza mke wako kiwango hicho).
Kule hospital wakasema hana tatizo, ila ni avumilie maumivu tu mpaka pachanike(tena gyno anasema “wewe mbona muoga hvo utaweza kuzaa kweli”). Sasa amekuwa so down, nkitaka kuingiza tu anatetemeka, anaanza kujuta kwa nn hakufanya hio michezo miaka yote hio nk.
Kama mke wangu namwonea huruma sana na amechoka na haya maumivu na mimi nime choka pia kumuumiza. Nikaanza kuchana na kidole, sasa kidole kidogo kikawa kinaingia ila ukijaribu kutanua ile tissue ya juu analia sana anaumia nimefanya hvo mara kadhaa ila bado japo kitombo kilianza kukua.
Bahati mbaya nipeta safari ya kikazi, ila soon narudi home nlimuomba picha nione kama bado yapo ka kile kitobo aisee ile picha inaonyesha pamefunga kabisa kama mwanzo (Usiniombe picha hahahah[emoji23]). Mke wangu ananisubiri kwa hamu sana. Naombeni ushauri tufanyeje na hii hymen? Je hili tatizo lipoje kuna aliyewahi kukutana nalo na je alifanyaje? Nashukuru kwa ushauri wenu.
Sio kajitunza psychologicaly inaonekana kuna wenzako kama 100 hivi walijaribu wakashindwa ndio wamekuachia wewe usijisifu wala kumsifu yeye isifu hiyo unbreakable hyme!.Miaka 30+ amekwepa mishale mingapi ndugu yangu, kuna wanawake wanamsimamo aisee.. Niliforce sana, ila nilifail nkaona sio kesi, anafanya kazi ya heshima sana, elimu kubwa kama tumbo la lekibamiaz.. pesa ipo mie nkawa natumbua tu na michepuko yangu. Na mimi nilimpenda, yupo vzuri sana basi nkawa mpole mpaka ndoa. Michepuko nimepiga chini yote nipo na mama mjengo tu ila sasa ndo balaa lingine hilo.
duuuh ..kitaalamu hiyo tunaita ana imperforate hymen...
sidhani kama Gynaecologist aliyebobea hayo mambo alikushauri ipasavyo..
but njia ya kuondoa hilo tatizo ni surgical procedure to remove a hymen ...
nadhani you have to consider senior specialists kwa kazi hiyo zaidi..
Dont waste your time kuhangaika na kuitoboa kwa kidole...
Its congenital gynaecological condition na ni mara chache sana kuwaona watu wa namna hiyo but hiyo hali ipo na nilishawahi kushuhudia dada mmoja aliadmitiwa akakutwa na situation kama hiyo..
Ila mara nyingi mtu mwenye imperforate hymen mara nyingi huwa hazioni siku zake lakini kwa huyo mwanamke hujasema kama anaona siku zake au laaa...
Kama anaziona siku kidogo basi na incomplete perforate hymen ambayo inahitaji procedure ndogo tu ya kutanua pale...
just visit a senior specialist atajua cha kufanya...
..But kadri unavyohangaika ndipo chance nyingi ya kudevelop Endometriosis inakuwa kubwa sana...
you can also conclude the diagnosis by transvaginal ultrasound au transabdominal ultrasound ukacomfirm kama ni incomlpete imperforated hymen au ni complete imperforated hymen...
pole kwa yotr but usilichekee hilo tatizo utakuja kujilaumu kwanini umemuoa coz atakuja develop chronic gynaecological conditions ambazo zitamletea shida kwa badae.. .
kama ataendelea hivo manake kupata ovarian tumor ni kugusa tu coz anatakiwq kila mwezi mayai yatoke but condition inakuwa poor.
be careful with yo wife utamwonea huruma badae...
In love we have to share the conditions,avoid kutanguliza starehe mbele but msaidie kwanza tatizo litoke..
over...
Sio kajitunza psychologicaly inaonekana kuna wenzako kama 100 hivi walijaribu wakashindwa ndio wamekuachia wewe usijisifu wala kumsifu yeye isifu hiyo unbreakable hyme!.
Mkuu hiyo bikra imekomaa. Mkiambiwa mtoe bikra mkiwa wadogo unabana pua ( mpaka ndoaa ) haya sasa, sikilizia maumivu yake. Mkuu bastisha hiyo kitu, fanya kama unagongea msumari kwenye mbao itatoka tu
Hebu mtafute gudume
Atakutatulia hilo tatzo
Alitatua tatzo la jamaa mmoja humuKwasababu alishakutatulia tatizo lako huko nyuma? Ebu elezea vizuri
Unanikumbusha nilipata gf kama huyo miaka ile hapo Moshi mjini. Ila bahati mbaya enzi hizo sikujua Tigo. Ila alinipenda sana, ukitaka kuingiza haipenyiZamani walikua wanatuambia kaoa Mke ambaye hana