She is attracted to a co-worker.. mgogoro na jamaa

but sometimes ni phase tu...mbona wapo watu wanajua wake zao wako 'in love' na mtangazaji wa tv
au muigizaji wa filam au mwanamuziki......kama hakuna uwezekano wa kukutana..
unadharau tu....

Nakubaliana na hilo la phase but nakataliana kufananisha a guy in real life (as aonana na mke/mmeo) na TV Presenter... Ama mtu ambae hajawahi muona....
 
Mumeo akisema 'ANAMPENDA ' Irene Uwoya...na kukatokea
kuna harusi Irene Uwoya atakuwepo na mumeo pia atakuwepo.....wewe utadharau?????
 
Akisema anampenda nitamwambia "akanywe nae chai"

Lol
 
WANAUME akisikia mkewe anamsifia msanii maarufu au mtangazi wa tv...
utasikia....aah yule si shoga yule...we hujui.....lol
inaua feelings zote lol
 
Alafu Boss kuna siku nilienda kuangalia game ya Manchester...sasa nilikuwa seat ya VIP na ilikuwa game ya kupewa kombe.

Sasa nikarudi home nikawa nahadithia "Ronaldo kapita chini yangu, kisha lile smile kaa kanismilia mie vile"

There was this guy....mshkaji tu, acha amponde kuwa shoga! Hahahah
 
umeonaaa ehh....lol
 
duh!!! aibu hii!!
sasa kweli huyu mke has overstepped the line ya truth.....sasa hapa mwanawane lazima awe na pressure ata mie ningekuwa sina raha tena.
 
Mbona watu mnaongelea kupenda???
Dada amesema AMEVUTIWA na co-worker na sio ANAMPENDA co-worker.
Wangapi mkitembea barabarani mnavutiwa na wadada mnaowaona kwa sababu tofauti tofauti au wadada wanavutiwa na wakaka???Au mnadhani mnapojikuta mnakodolea wasiokua wapenzi wenu macho mnakua mnafanya nini???
Mtu hawezi kuzuia kuvutiwa na mtu/watu nje ya mahusiano yake...anachoweza kuzuia ni kuruhusu huo mvuto uzae mengine.

Sema dada kumweleza mwenzake amekosea...hakukua na haja ya kumpa wasiwasi eti ''kabla mambo hayajaenda pabaya'' unless she is planning to act on it. Ahame kazi au ajiweke mbali na huyo kijana!
 
Alafu Boss kuna siku nilienda kuangalia game ya Manchester...sasa nilikuwa seat ya VIP na ilikuwa game ya kupewa kombe.

Sasa nikarudi home nikawa nahadithia "Ronaldo kapita chini yangu, kisha lile smile kaa kanismilia mie vile"

There was this guy....mshkaji tu, acha amponde kuwa shoga! Hahahah

GEE
actually umenijibu swali la 'different upbringing' na
so many 'downers' here .....lol
now kumbe ndo maana lol...
 
Mbona watu mnaongelea kupenda???
Dada amesema AMEVUTIWA na co-worker na sio ANAMPENDA co-worker.
Wangapi mkitembea barabarani mnavutiwa na wadada mnaowaona kwa sababu tofauti tofauti au wadada wanavutiwa na wakaka???Au mnadhani mnapojikuta mnakodolea wasiokua wapenzi wenu macho mnakua mnafanya nini???
Mtu hawezi kuzuia kuvutiwa na mtu/watu nje ya mahusiano yake...anachoweza kuzuia ni kuruhusu huo mvuto uzae mengine.

Sema dada kumweleza mwenzake amekosea...hakukua na haja ya kumpa wasiwasi eti ''kabla mambo hayajaenda pabaya'' unless she is planning to act on it. Ahame kazi au ajiweke mbali na huyo kijana!

kama naona vema katikati ya mistari....'kuenda pabaya' ndo plan ya mdada.so nadhani hii ni kama alibi tu ili likija tokea la kutokea basi tunakuwa na pakuanzia kuomba msamaha!

halafu wadada bana unaweza kuta ni game tu anamcheza mumewe that he shud work his ass off kwenye baadhi ya mambo hata kama hajasema wazi kuwa kuna tatizo) au tu anataka kujicikia kupendwa zaidi na mumewe na haoni kama jamaa ana-do ze nidful.hii ni mbinu ya hatari sana as kuna baadhi yetu wanaume,huwezi(mdada) kujua wen tunapochukua maamuzi magumu.msiutumie uzuri na urembo wenu vibaya bana!!
 
GEE
actually umenijibu swali la 'different upbringing' na
so many 'downers' here .....lol
now kumbe ndo maana lol...

Hahaha Boss kwa kuunganisha habari, skuwezi!

Hivi alonambia "Ronaldo gay" ni downer pia? Lol
 
huyo ni 'player hater' sio downer
but mitaa hiyo its normal kutowa put down girls....
ungekuwa mmenda kutazama 'manchester ya tandale' hata siti usingepewa
probably ungeambiwa 'kapike jikoni'..lol
 
Mbona watu mnaongelea kupenda???
Dada amesema AMEVUTIWA na co-worker na sio ANAMPENDA co-worker.
Wangapi mkitembea barabarani mnavutiwa na wadada mnaowaona kwa sababu tofauti tofauti au wadada wanavutiwa na wakaka???Au mnadhani mnapojikuta mnakodolea wasiokua wapenzi wenu macho mnakua mnafanya nini???
Mtu hawezi kuzuia kuvutiwa na mtu/watu nje ya mahusiano yake...anachoweza kuzuia ni kuruhusu huo mvuto uzae mengine.

Sema dada kumweleza mwenzake amekosea...hakukua na haja ya kumpa wasiwasi eti ''kabla mambo hayajaenda pabaya'' unless she is planning to act on it. Ahame kazi au ajiweke mbali na huyo kijana!

Kwa wanaume wengi ni principle ya "out of sight - out of mind" ina apply. Akipita mwanadada anajua kuzungusha kama mcheza sindimba ataangaliwa kwa sana tu. Akishaondoka mambo yanaisha mpaka atakapotokea aliyeacha wazi nusu ya manyonyo yake na zoezi la kuangalia linaanza tena upya. Wakati huo yule wa kwanza alishaondoka kichwani saa nyingi. Wakipita wawili au watatu kwa mpigo ndiyo kabisaaa wanaangaliwa nusunusu tu na kusahauliwa palepale. Kwa hiyo Lizzy ukiona jamaa anaangalia wala usiwe na shaka ni fahari ya macho tu hiyo haiwezi kufilisi duka.
 
huyo ni 'player hater' sio downer
but mitaa hiyo its normal kutowa put down girls....
ungekuwa mmenda kutazama 'manchester ya tandale' hata siti usingepewa
probably ungeambiwa 'kapike jikoni'..lol

Hahaha @ Manchester ya Tandale

Kwa hiyo Boss unadhani mtoto wa kike anaeambiwa afanye kazi za kike ndo kuwa anakumbana na "put down" nyingi?
 
Back
Top Bottom