but sometimes ni phase tu...mbona wapo watu wanajua wake zao wako 'in love' na mtangazaji wa tv
au muigizaji wa filam au mwanamuziki......kama hakuna uwezekano wa kukutana..
unadharau tu....
Nakubaliana na hilo la phase but nakataliana kufananisha a guy in real life (as aonana na mke/mmeo) na TV Presenter... Ama mtu ambae hajawahi muona....
I feel what you are saying.... Kweli mapenzi hayana adabu!!
Mumeo akisema 'ANAMPENDA ' Irene Uwoya...na kukatokea
kuna harusi Irene Uwoya atakuwepo na mumeo pia atakuwepo.....wewe utadharau?????

Akisema anampenda nitamwambia "akanywe nae chai"
Lol
Hayana formula pia...hapo ndipo ugumu unapoanzia....
Miss u..
Akisema anampenda nitamwambia "akanywe nae chai"
Lol
WANAUME akisikia mkewe anamsifia msanii maarufu au mtangazi wa tv...
utasikia....aah yule si shoga yule...we hujui.....lol
inaua feelings zote lol
Alafu Boss kuna siku nilienda kuangalia game ya Manchester...sasa nilikuwa seat ya VIP na ilikuwa game ya kupewa kombe.
Sasa nikarudi home nikawa nahadithia "Ronaldo kapita chini yangu, kisha lile smile kaa kanismilia mie vile"
There was this guy....mshkaji tu, acha amponde kuwa shoga! Hahahah
umeonaaa ehh....lol

Mbona watu mnaongelea kupenda???
Dada amesema AMEVUTIWA na co-worker na sio ANAMPENDA co-worker.
Wangapi mkitembea barabarani mnavutiwa na wadada mnaowaona kwa sababu tofauti tofauti au wadada wanavutiwa na wakaka???Au mnadhani mnapojikuta mnakodolea wasiokua wapenzi wenu macho mnakua mnafanya nini???
Mtu hawezi kuzuia kuvutiwa na mtu/watu nje ya mahusiano yake...anachoweza kuzuia ni kuruhusu huo mvuto uzae mengine.
Sema dada kumweleza mwenzake amekosea...hakukua na haja ya kumpa wasiwasi eti ''kabla mambo hayajaenda pabaya'' unless she is planning to act on it. Ahame kazi au ajiweke mbali na huyo kijana!
GEE
actually umenijibu swali la 'different upbringing' na
so many 'downers' here .....lol
now kumbe ndo maana lol...
Hahaha Boss kwa kuunganisha habari, skuwezi!
Hivi alonambia "Ronaldo gay" ni downer pia? Lol
Mbona watu mnaongelea kupenda???
Dada amesema AMEVUTIWA na co-worker na sio ANAMPENDA co-worker.
Wangapi mkitembea barabarani mnavutiwa na wadada mnaowaona kwa sababu tofauti tofauti au wadada wanavutiwa na wakaka???Au mnadhani mnapojikuta mnakodolea wasiokua wapenzi wenu macho mnakua mnafanya nini???
Mtu hawezi kuzuia kuvutiwa na mtu/watu nje ya mahusiano yake...anachoweza kuzuia ni kuruhusu huo mvuto uzae mengine.
Sema dada kumweleza mwenzake amekosea...hakukua na haja ya kumpa wasiwasi eti ''kabla mambo hayajaenda pabaya'' unless she is planning to act on it. Ahame kazi au ajiweke mbali na huyo kijana!
huyo ni 'player hater' sio downer
but mitaa hiyo its normal kutowa put down girls....
ungekuwa mmenda kutazama 'manchester ya tandale' hata siti usingepewa
probably ungeambiwa 'kapike jikoni'..lol