salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 652
Wewe umeshazaa songa mbele na maisha na mzazi mwenzio maisha ya huyo kiumbe ni muhimu kwa sasa zaidi ya maisha yako; katika maisha haya mtu hapati atakacho bali ajaliwacho wenye shingo ngumu kuukubali ukweli huu huishia kubayahiyo kwenda kwa wazazi itaanzia wapi wakati ye bado hajakubali kabisa kunirudia?
much worse anapenda sana kunitisha kuwa anampango wakuolewa mwaka huu.
huwa siamini
Umeona eehhh..... Ila kimsing huyo demu ana pozi za kitoto na za kijinga she is nat mature enaf in fact hajui nini anakitaka in her life.....I did.... Labda me ndo sijaeleweka.....
That's why nkasema by the time she z mature enaf kuelewa t will b too late for her....
By moreen baby
nilijua baada ya kumaliza masomo na nilijua kipindi huyo mkeo anamimba ckujua alijifungua lin bali nilikuja kusikia anamtoto tuachanen na hayo najua unanipenda bt angalia maisha yako mi siwez tena kurudi nyuma najua maumivu nilioyapata na nilikwambia uniache nijue msimamo wako kama kwel ww hukuwa na mtu isingekuwa raisi kukubali matokeo mapema vile lakin nilivogundua una mtu ambaye tayar ni mjamzito nikajua kwann tulikuwa hatuna mawasiliano ok cwez kuwa wako tena jenga maisha na huyoo ulienae m na ww tutabaki mafriend tu sawa eehhh .... hata nikisema nikurudie wewe bado huyo ulienae ataumia kwa sababu yangu na inaonesha yeye aanakupenda sana bac kuwa naye huyooo
Hahaha... Come this way.
||"You were too young to understand"||
Mkuu huyu moreen ni mstaarabu sio kila kitu akianike hapakweli mkuu lakini kinachoshangaza hapa kidogo, moreen anakazania mimi na yeye tubakie kuwa marafiki tu.
na sio niachane nae kabisa.
Tatizo ni hapo,nataka sitaki.Atakuja kukusumbua sana mbeleni,believe me!Kwa jinsi ulivyothubutu,ukafunguka wazi kabisa,angekuwa muungwana na mwenye mapenzi ya dhati mgeishayamaliza!Sasa songa mbele,kwa kasi na nguvu zaidi,,anza maisha yako bila yeye!No calls,no sms,no pm,no emails,no letters,just you and your life!.
i'm not sure if she dont love me.
..
naamini pia naweza ku move on.
Wewe umeshazaa songa mbele na maisha na mzazi mwenzio maisha ya huyo kiumbe ni muhimu kwa sasa zaidi ya maisha yako; katika maisha haya mtu hapati atakacho bali ajaliwacho wenye shingo ngumu kuukubali ukweli huu huishia kubaya
kila binadamu ana hisia m cwez kumkataza yeye kunipenda nakubali ananipenda ila kwa alichofanya sawa sio kizur .na m nilimkatalia kwa sababu kwa ninavyofikiria mimi huwez kukaa na mpenz wako miez sita bila mawasiliano m narud tunakutana hajanambia kama anamtoto nakuja kusikia habari juu kwa juu tuu ndo namuuliza anasema ndio sawa bt kwann alinifcha mwanzoniiiii????? pili maishani mwangu cpend kuwa mke wa pili that's all NIMEMALIZAAAAAAA
Ila uran kwa nini usikae na mama wa mtoto wako
au na yeye stori ikoje
Sasa miaka yote hiyo mitano unadhani madushee mangapi yameshazama kwa huyo mpenzi wako wa zamani na mangapi yameusulubisha moyo wake fresh; jipange anza upya hapo kuna mseto wa hisia zinaweza kukutilisha mweleka mpya.mkuu huyu mama wa mtoto wangu nilishamkataa..
hii kitu ina zaidi ya miaka 5 mkuu.
mtoto kwa sasa ni mkubwa
Kumbe maarufu.....sure sure mkuu, naenda kufanya hivyo very soon.
nimezungumza nae for more than 20minutes but hatuelewani.
I can move on kwa kweli.
ni miaka zaidi ya 6 sasa imepita without her.
Nilileta hili swala hapa kwenye public ili nijue msimamo wake wa mwisho.
then kauonyesha.
Nitaamua sasa.
moreen baby sababu anayoitumia ni dhaifu sana.
ila nimeona, umaarufu nao pia ni tatizo...!!!
Hatimaye hii kesi imeisha finally.Suluhisho ni wewe kuendelea na maisha braza,nitakupa sababu kuu ya wewe kufanya hivyo
It's funny that this has been too much of a coincidence caz I had a gf named Maureen and we broke up for the very same reason.Hivyo nikaamua kufanya karesearch kadogo kuhusu wadada wenye majina haya ya Maureen au Moreen maana nilimpenda sana.Huu uzi leo umeconclude research yangu kwani sample yangu ilikuwa ya wadada wawili huyu akiwa wako akiwa watatu.
Kwa kifupi ni kwamba wadada wenye majina haya wamejaliwa urembo,wengi wao wanamuonekano mzuri wa nje,na kwasababu hiyo huwafanya wawe wajeuri na kuhisi kwamba hawawezi kukosa mwanaume wa aina yoyote.To them they always think they deserve better than what they current have.Na haya yote yamejidhihirisha kwa huyu Moreen wako(I am not sure if it's her real name though)
Atakusumbua huyu mkuu baadae,Moreen uliyemuacha mwanza kipindi kile umemaliza advance sio huyu wa sasa.huyu wa sasa tayari anaijua dunia na anahisi kuwa ana deserve mtu bora zaidi yako na anajikubali sana kifikia hatua ya kujibu kwa dharau mbele ya umati
Kwenu wakina Moreen
The whole world doesn't revolve around you.There is nothing like a perfect guy na zimwi likujualo halikuli likakwisha,lakini pia kumbukeni bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua
MKUU,MOVE ON
Mmhhh kuhusu jina thoo..... Najiogopaaah
Samahani uran una miaka mingapi???!!Namaanisha umri wako,na huyo bibie ana miaka mingapi!Naona kama tunapoteza muda kutoa ushauri!Samahani lakini
Kwanini unajiogopa? Unaitwa Moreen nini na wewe?
Do u love me???
Anaomba msamaha sijui msimamo jf.
Ajiongeze bana si kulialia hiyo si sifa ya mwanaume wa kitanzania.
Mie jambazi langu jeuri balaa ndo maana siliachi lingekuwa la kulialia kama uran ningeshaliacha siku nyingi sana.