salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 652
Wewe umeshazaa songa mbele na maisha na mzazi mwenzio maisha ya huyo kiumbe ni muhimu kwa sasa zaidi ya maisha yako; katika maisha haya mtu hapati atakacho bali ajaliwacho wenye shingo ngumu kuukubali ukweli huu huishia kubayahiyo kwenda kwa wazazi itaanzia wapi wakati ye bado hajakubali kabisa kunirudia?
much worse anapenda sana kunitisha kuwa anampango wakuolewa mwaka huu.
huwa siamini
