SHE is "single" and bored.....she needs a man in her life too......

[h=2][/h]
At the age of 26...mtu ananijia na kuniambia eti 'amekata tamaa'???? Mie nambangolize tu na mikwenzi juu!!!​

ungelipenda akushtue ukiwa na umri gani?
 

Huyo amekuweka kwenye rada zake tayari. Kama wewe ni shikamoo jazz kama mimi na umeshafungwa zile pingu za DC mweleze kuwa nafasi zimejaa. Vinginevyo kama wewe bado ni serengeti boys angalia kama ni wife material na ikiwa huna engagements zozote unaweza kufuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…