magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
- Thread starter
- #61
Exactly! He don't yet know what he wants! Majuto ni mjukuu!
Sure i do!!!.....i need her...for sure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly! He don't yet know what he wants! Majuto ni mjukuu!
Ndg kuwa na msimamo!kama uliamua kumuacha huyo x na kudat na huyo uliyonayo tulia kaka!kumbuka na yeye akiamua kurudiana na huyo mchizi wewe nawe utakuwa wap?embu tuwe binadamu jaman umempotezea tym yake mdada wa watu afu leo huyo aliyekusumbua ndo unamuona anafaa!dah kjana huyo x atakuwa wewe poyoyo maana atakucheat na hata ukijua hana wasiwasi coz atajua mtagombana mwsho wa cku utarud tena coz hauna msimamo!nakushauri baki na uliyenaye tu!
Hahhaa....kaz kwel kwel
Wasalaam wanafamilia wa MMU...
The women of my dream,my one i wish to be with the rest of my life...the one I had history with....she is back...surprisingly!!..she need me back....
Siku za nyuma nilipata kuwahabarisha kuhusu mwanamke ambae alifanikiwa kuuteka mtima wangu...and at the end I said like I still love and respect her...
Pia nilisema I got someone ambae am interested to...na last week we agreed on having relationship....na kwa sasa ni wapenzi..uyu msichana nlienae sasa kwa kweli hafanani na that x of mine coz she got her style but I seem to fall for her......na kifupi tunepanga mengi tayari..
Kimbembe kimetokea leo...x wangu yule amerudi bongo land na kwa namna yeyote atakua ameshavurugana na mkuu wa kule coz after having a loong conversation she said like she need me back....anadhani am the right guy kwake...
Jamani nikubali kua huyu mwanamke ndie nilikua siku zote natamani awe mke wangu na kuniambia hivyo she made my day ....but what confuses me ni kua tayari I gat committed to some one else...sina sababu ya kumuacha the gal I have now....
Nafanyajeeee!!!....natamani kurudiana na x wangu yule hata sasa hivi tatizo ni namwambia nini huyu bibie nilienae!
My x anasema if I agree means am single and ut means her alone....
Wat do I doooooooo
Kukazwa mbna ata wako atakua anakazwa tu mchepukon...ile mambo n lastic so never wonder!....
Sasa Kumbe Unajua Unampenda Unataka Ushaur Wa Nn?Just Do Watever U Like Coz Unapewa Uxaur Bt Still Unaweka Kipngamiz How Bad Ur Nyie Ndo,HUNA MSIMAMO
Demu kakuacha kaenda kugawa halaf anarudi anakwambia anakupenda...kakuona ww boya huna msimamo
magombe junior uko kwenye wakati mgumu sana na maamuzi yako kwa wakati huu yanaweza kuathiri maisha yako yote yaliyobaki hapa duniani kwa hiyo ndugu yangu usikurupuke take a deep breath na uchukue maamuzi sahihi,as for me nakushauri jaribu kufanya yafuatayo huku the best weapon of you for now ni kuwa muwazi kwa wote wawili.
kama unaweza kujipa ujasiri mchukue huyo uliyenaye kwa sasa muelezee kisa chako chote cha wewe na huyo x wako na kisha mweleze kwa uwazi kabisa jinsi unavyojiskia kumhusu,na nini kilisababisha muachane na kwa sasa anataka mrudiane tena na umweleze jinsi unavyihis kumwelekea mpaka wakati huo,na kisha mueleze kuwa unamwona kuwa yeye ni mtu mzuri na yeye pia unampenda kwa kiasi chake na wala huoni sababu ya kumwacha kwa ajili ya x wako,kisha mwombe atoe maoni yake au mwaombe akushauri ufanye nini au uchukue maamuzi gani chini ya hali hiyo,majibu yaweza kuwa haya na hayo yanaweza kukuambia ikiwa utarudiana na x wako au utaendela na huyu wa sasa:
1.anaweza kuguswa sana na jinsi ulivyokuwa muwazi kwake,akalia sana na pengine akakwambia hata kama anakupenda sana anapenda uwe na mtu unayempenda na asingependa uwe na yeye ilhali kuna mwingine unampenda zaidi,na umeshindwa kuwa naye kwa ajili yake,na kisha akakuambia anakuset free kabisa tena bila kinyongo ila anakwambia hatujagombana ukihitaji ushauri au ukihitaji ruksa kusaidiana kama marafiki.(hapa unakuwa umemuacha kwa ruksa yake tena kiroho safi kabisa ila na wewe unatumia fursa hii kulia naye pia aone kuwa kwa kweli hata yeye ana thamani kwako kama response ikiwa hivi)
2.anaweza akalia sana na akakwambia kuwa hawezi kuishi bila wewe kwa kuwa anakupenda sana na akasisitiza usimwache na kukwambia utajifunza kumpenda kama huyo wa zamani as the time goes on,akakataa kabisa kukuset free(hapa sasa mkuu utakuwa huna jinsi zaidi ya kumsahau huyo x wako na kustick na huyu uliyenye sasa,kwani tofauti na hapo utakuwa unatafuta laana ya huyo binti)
kwa kusamaraiz tu mkuu magombe junior mshirikishe huyu uliyenaye kwa sasa katika kufanya maamuzi ili kuepusha lawama na kuumiza hisia zake mkuu,ni hayo tu kila la kheri.
Kiukwel kaka hutakuwa hujatenda haki kumuacha huyo wa sasa na hutogundua hlo mpaka pale atakapokusaliti second time kumbuka you feel wat ur girl feel ok,maumiv yk ni yko m2 alikutexa how comes unamuwka akilini,am waiting for the day utakayokuja kulia hapa mara ya pili.
mwacheni atapetape tu, mwisho wake ataujua, what goes round always comes back round
Thank you for speaking on my behalf. Muache amrudie huyo X wake ili next time tupate cha kushauri tena.
Shame on him
Wasalaam wanafamilia wa MMU...
The women of my dream,my one i wish to be with the rest of my life...the one I had history with....she is back...surprisingly!!..she need me back....
Siku za nyuma nilipata kuwahabarisha kuhusu mwanamke ambae alifanikiwa kuuteka mtima wangu...and at the end I said like I still love and respect her...
Pia nilisema I got someone ambae am interested to...na last week we agreed on having relationship....na kwa sasa ni wapenzi..uyu msichana nlienae sasa kwa kweli hafanani na that x of mine coz she got her style but I seem to fall for her......na kifupi tunepanga mengi tayari..
Kimbembe kimetokea leo...x wangu yule amerudi bongo land na kwa namna yeyote atakua ameshavurugana na mkuu wa kule coz after having a loong conversation she said like she need me back....anadhani am the right guy kwake...
Jamani nikubali kua huyu mwanamke ndie nilikua siku zote natamani awe mke wangu na kuniambia hivyo she made my day ....but what confuses me ni kua tayari I gat committed to some one else...sina sababu ya kumuacha the gal I have now....
Nafanyajeeee!!!....natamani kurudiana na x wangu yule hata sasa hivi tatizo ni namwambia nini huyu bibie nilienae!
My x anasema if I agree means am single and ut means her alone....
Wat do I doooooooo
Thnx mkuu kwa concern na ushauri...
Kwa namna ambavyo nimemfaham my new gal tayar....kwa mfano nikamweleza ayo atakubali mapema sana ila ataumia sana moyon...hua anajua kuvumilia ila anaumia sana ndan.....ana matatzo ambayo when she is really upset anaweza ad kulazwa...
I think i have to thnk of no 2..namuomba mungu aniongoze
Sometime we need to learn how to have a real love.