magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
- Thread starter
-
- #121
tumia lugha ya aina moja siku nyingine,acha ushamba!
Mhh baba paroko naw i ment ameshaamua nini anafanya hadi sasa
huyo x wako keshajua upo dhaifu juu yake na atakutumia atakavyo/apendavyo.
Hope she will get it....pia niliona ni wazo zuri ispokua bado niliona litaambatana na maumivu ......
Wasalaam wanafamilia wa MMU...
The women of my dream,my one i wish to be with the rest of my life...the one I had history with....she is back...surprisingly!!..she need me back....
Siku za nyuma nilipata kuwahabarisha kuhusu mwanamke ambae alifanikiwa kuuteka mtima wangu...and at the end I said like I still love and respect her...
Pia nilisema I got someone ambae am interested to...na last week we agreed on having relationship....na kwa sasa ni wapenzi..uyu msichana nlienae sasa kwa kweli hafanani na that x of mine coz she got her style but I seem to fall for her......na kifupi tunepanga mengi tayari..
Kimbembe kimetokea leo...x wangu yule amerudi bongo land na kwa namna yeyote atakua ameshavurugana na mkuu wa kule coz after having a loong conversation she said like she need me back....anadhani am the right guy kwake...
Jamani nikubali kua huyu mwanamke ndie nilikua siku zote natamani awe mke wangu na kuniambia hivyo she made my day ....but what confuses me ni kua tayari I gat committed to some one else...sina sababu ya kumuacha the gal I have now....
Nafanyajeeee!!!....natamani kurudiana na x wangu yule hata sasa hivi tatizo ni namwambia nini huyu bibie nilienae!
My x anasema if I agree means am single and ut means her alone....
Wat do I doooooooo
Utapigwa chini tena kijana.tena hyo itajustify jins ulivomuumiza the current girl.KARMA,on its way
u cant avoid maumivu hapo rfk.. whether u like it or not.. bt ukweli utakuweka huru
Rudi kwa unaemuita x..huyo wa sasa mweleze tu ukwel
Watu mnapenda kuumiza watu!
Neeeenda bana kwani shiiiing ngaaapi?
Mnaanzisha mahusiano mapya ya nini kama mliyokuwa nayo hamjamaliza biashara?
we songa mbele hujioni ulikuwa wa akiba?
Ntarudi badae ngoja ntafute stori yako ya nyuma
And what do u need?
kama alikumwaga kipindi kile atashindwa nn sa iz huna akili hata ya kawaida kulijua hili? Mshika 2 moja humponyoka!
Mapenzi bwana you only see and hear what you want to see and hear,kwa upande wangu kitu cha msingi ambacho naona unapaswa uzingatie ni kwamba mara ya kwanza kipi kilipelekea mkaachana kama ni kutokana na tabia yake mbaya basi jifikirie sana kumrudia la sivyo itakula kwako ila kama kosa lilikuwa lako na umekua tayari kucorrect mistake basi mkubalie coz moyo wako inaonekana bado upo kwake