She need it back, am confused

She need it back, am confused

Wasalaam wanafamilia wa MMU...

The women of my dream,my one i wish to be with the rest of my life...the one I had history with....she is back...surprisingly!!..she need me back....

Siku za nyuma nilipata kuwahabarisha kuhusu mwanamke ambae alifanikiwa kuuteka mtima wangu...and at the end I said like I still love and respect her...

Pia nilisema I got someone ambae am interested to...na last week we agreed on having relationship....na kwa sasa ni wapenzi..uyu msichana nlienae sasa kwa kweli hafanani na that x of mine coz she got her style but I seem to fall for her......na kifupi tunepanga mengi tayari..

Kimbembe kimetokea leo...x wangu yule amerudi bongo land na kwa namna yeyote atakua ameshavurugana na mkuu wa kule coz after having a loong conversation she said like she need me back....anadhani am the right guy kwake...

Jamani nikubali kua huyu mwanamke ndie nilikua siku zote natamani awe mke wangu na kuniambia hivyo she made my day ....but what confuses me ni kua tayari I gat committed to some one else...sina sababu ya kumuacha the gal I have now....

Nafanyajeeee!!!....natamani kurudiana na x wangu yule hata sasa hivi tatizo ni namwambia nini huyu bibie nilienae!

My x anasema if I agree means am single and ut means her alone....

Wat do I doooooooo

Utapigwa chini tena kijana.tena hyo itajustify jins ulivomuumiza the current girl.KARMA,on its way
 
kama alikumwaga kipindi kile atashindwa nn sa iz huna akili hata ya kawaida kulijua hili? Mshika 2 moja humponyoka!
 
kama alikumwaga kipindi kile atashindwa nn sa iz huna akili hata ya kawaida kulijua hili? Mshika 2 moja humponyoka!

Apo ndipo ntaanzia....na juna uwezekano nkajiponyosha yote mawili...kuanza upya sio ujinga
 
Mapenzi bwana you only see and hear what you want to see and hear,kwa upande wangu kitu cha msingi ambacho naona unapaswa uzingatie ni kwamba mara ya kwanza kipi kilipelekea mkaachana kama ni kutokana na tabia yake mbaya basi jifikirie sana kumrudia la sivyo itakula kwako ila kama kosa lilikuwa lako na umekua tayari kucorrect mistake basi mkubalie coz moyo wako inaonekana bado upo kwake
 
U gat point somewhere....
 
Back
Top Bottom