City hunter j
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 926
- 380
Akichelew 2 kureply ur sms kasirika n piga chini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akichelew 2 kureply ur sms kasirika n piga chini..
U gat point somewhere....
du kazi kwako unaekubali kulamba matapishi yako
Mwanaume kicheche utamjua tu.
Wasalaam wanafamilia wa MMU...
The women of my dream,my one i wish to be with the rest of my life...the one I had history with....she is back...surprisingly!!..she need me back....
Siku za nyuma nilipata kuwahabarisha kuhusu mwanamke ambae alifanikiwa kuuteka mtima wangu...and at the end I said like I still love and respect her...
Pia nilisema I got someone ambae am interested to...na last week we agreed on having relationship....na kwa sasa ni wapenzi..uyu msichana nlienae sasa kwa kweli hafanani na that x of mine coz she got her style but I seem to fall for her......na kifupi tunepanga mengi tayari..
Kimbembe kimetokea leo...x wangu yule amerudi bongo land na kwa namna yeyote atakua ameshavurugana na mkuu wa kule coz after having a loong conversation she said like she need me back....anadhani am the right guy kwake...
Jamani nikubali kua huyu mwanamke ndie nilikua siku zote natamani awe mke wangu na kuniambia hivyo she made my day ....but what confuses me ni kua tayari I gat committed to some one else...sina sababu ya kumuacha the gal I have now....
Nafanyajeeee!!!....natamani kurudiana na x wangu yule hata sasa hivi tatizo ni namwambia nini huyu bibie nilienae!
My x anasema if I agree means am single and ut means her alone....
Wat do I doooooooo
Kaunga nimependa profile picha yako...ila Mtume wetu Muhamad ametwambia Mambo matatu
"UKWELI WAKE NDO UKWELI WAKE NA UWONGO WAKE NDO UKWELI WAKE"
1.kumwambia Mwanamke ntakuona...mtu hutakiwi hata umtanie Mwanamke wakati ukijua hutomuoa...ukishamwambia lazima umuoe labda iwe kwa sababu za kimsingi...Ana maradhi ya kuambukiza,Familia yake ni washirikina(a.k.a Wachawi) au ana Tambia mbaya zisiwesha kukubalika.
2. Wakati wa Enzi za Utumwa(Sasa hivi wafungwa Gerezani)..ilikua hutaiwi hata kumtania Mtumwa(sasa Hivi wafungwa) kua nimekuancha huru...ukishamwambia nimekuacha huru hata kama unatania basi lazima umwache huru...Ndo kusema leo hii JK hawezi kuwasemehe wafungwa halafu abadili msimamo aseme warudishwe...
3.Katika Uislam hutakiwi kumtania Mwanamke nimekuacha...ukitamka tu tayari ni Talaka...ndo kusema talaka si kitu cha kuchezea..
Kwa hio Najua ndo za siku hizi watu wengi wanazini kabla kuoana......ila huyo jamaa kama ameshatoa ahadi ya ndoa anatakiwa amuoe uyo mwanamke wala asitafute sababu ya kumuacha.....Na kama akimuacha ategemee adhabu za Mungu kwa sababu Mungu hapendi wanawake wananganywe....Kila kitu kina sababu....sababu ya yeye kukutana na Huyu dada wa sasa...yawezekana huyu ndo mwenye kheri na yeye......Mimi nina stori kama huyu kaka...na Nilimuacha X wangu na nikamuoa mwanamke ambae sasa ninae...Alhamdulillah ni Mke mwema ambae sikuwahi kutegemea....
usirudi,ukirudi ushaonyesha udhaifu na atakusumbua sana,afu uliye nae atajiskia kama wew ulivyojiskia,sasa usiruhusu ilo litokee

Ndio mkuu...endelea nae huyu wa sasa...Huyu ni Mke wako ulipewa na Mwenyezi Mungu....X-wako atakuja kukusumbua tu....Mkuu nimeshwishika kukuekea Picha ya mke wangu ili uone kua some time tunakutana na wakati mgumu katika kuchagua...ajua sometime tofauti ya uzuri ni challange ila tupige moyo konde...huyu hapa ndie shemegi yako...sasa utajiuliz ax-wangu alikuaje...ila usiogopeView attachment 158761
Kwa hiyo upo tayari kwenda kula shahawa za mwanaume mwenzio au sio??kwanza how old are you??
Usitake kumuumiza dada wa watu na usijaribu kuishi maisha ya hivyo la sivyo utapata tabu kuicontrol family yako....bakia na mwanamke wako na ishi nae kwa amani,achana na x vicheche hao,wanakuona unafaaa wakishatumiwa
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ndio mkuu...endelea nae huyu wa sasa...Huyu ni Mke wako ulipewa na Mwenyezi Mungu....X-wako atakuja kukusumbua tu....Mkuu nimeshwishika kukuekea Picha ya mke wangu ili uone kua some time tunakutana na wakati mgumu katika kuchagua...ajua sometime tofauti ya uzuri ni challange ila tupige moyo konde...huyu hapa ndie shemegi yako...sasa utajiuliz ax-wangu alikuaje...ila usiogopeView attachment 158761
MmmhWasalaam wanafamilia wa MMU...
The women of my dream,my one i wish to be with the rest of my life...the one I had history with....she is back...surprisingly!!..she need me back....
Siku za nyuma nilipata kuwahabarisha kuhusu mwanamke ambae alifanikiwa kuuteka mtima wangu...and at the end I said like I still love and respect her...
Pia nilisema I got someone ambae am interested to...na last week we agreed on having relationship....na kwa sasa ni wapenzi..uyu msichana nlienae sasa kwa kweli hafanani na that x of mine coz she got her style but I seem to fall for her......na kifupi tunepanga mengi tayari..
Kimbembe kimetokea leo...x wangu yule amerudi bongo land na kwa namna yeyote atakua ameshavurugana na mkuu wa kule coz after having a loong conversation she said like she need me back....anadhani am the right guy kwake...
Jamani nikubali kua huyu mwanamke ndie nilikua siku zote natamani awe mke wangu na kuniambia hivyo she made my day ....but what confuses me ni kua tayari I gat committed to some one else...sina sababu ya kumuacha the gal I have now....
Nafanyajeeee!!!....natamani kurudiana na x wangu yule hata sasa hivi tatizo ni namwambia nini huyu bibie nilienae!
My x anasema if I agree means am single and ut means her alone....
Wat do I doooooooo
she needs it back na si she need it back. mleta mada ni muongo na mjivuni. to hell...
Mkuu Magombe nakushauri usimwache ex wala Huyu wa sasa, we endeleza libeneke nao Wote wawili ila ex mwambie upo kwenye relationship unahitaji Muda wa kujiadjust na huwezi mwacha kipepeo wako wa Sasa ghafla