she needs a doctor advice..

situmai

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
85
Reaction score
18
mdogo wangu anawashwa sana ukeni nini itakuwa tatizo??
 
of course nashangaa kama wewe ni binadamu wa kawaida, badala ya kuitafuta hosp ilipo uko hapa unamtafuta Dr JF, pathetic!

hapa nikushauriana sawa? ofcourse hosp ataenda but kusikiliza mawazo ya watu mbalimbali sio kitu kibaya,2mia common sense ww....
 
ndugu nakushauri mwambie aende kwa gynochologist (daktari wa magonjwa ya wanawake) katika hospital yeyote ya uhakika, yeye ndio atajua tatizo ni nini na kumpatia matibabu Inshaallah!
mdogo wangu anawashwa sana ukeni nini itakuwa tatizo??
 
Kila kitu Gynae jamani? Hizi ni fungus tu, tena hazikawii Kuisha kwa kubadili mtindo aw maisha tu.
awe ananawa na maji ya uvuguvugu na dettol soap, ajikaushe vizuri. Avae vyupi ambavyo ni pure cotton na vifuliwe na kuanikwa Juani. Usiku awe anapunga upepo.

Ikiendelea kwa wiki mbili, akaonwe na dr aw kawaida kwanza. Kama Hana discharge, inaweza isiwe tatizo kubwa
 
afadhali kingst umewaambia!! Hizi ni case za hospitali za kawaida. Siyo kila ugonjwa unataka specialist! Tatizo mnaanzia kwa wauza maduka ya madawa weeeeee! Mpaka mnakuwa sugu ndo muende hospitali.
 
ukiambiwa kajinyonge utalalamika?

basi JF wakitoe hiki kipengele cha JF DOCTOR maana naona kila anaye uliza swali unamponda na kumwambia aende hosp, basi hakina sababu ya kuwekwa hapa, na kama sababu ipo basi acha ushamba na we uonekana umejibu, wanawake wengine bwana, sijui hupewi dushelele la kutosha na jamaa yako, basi hasira kila mara. acha ubwege
 
pia ashtue shtue naskia muhogo ni dodoki safi sana huko...ukikaa sana bila kudu kunakuwa na matatizo...source sio smile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…