She needs another chance

She needs another chance

MU DA BEST

New Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Wadu nahitaj ushaur wenu juu ya suala langu kuhusu mpnz wng ambae niliyekua naye ukweli nlpnda xna tena xna bt akaja badilika kitabia nikajitahidi kumkanya ila akaona kama nampgie gita mbuz mara ya mwsho alifnyia zarau mbele yng eti alipigwa cm n mwanaume ncye mjua akawa anangea v2 vya ajabu mbele yng.ndo ikapelekea me na yeye 2achane na sasa anajuta kwa aliokua akifanya n kubaki kuwambia ndgu zngu kua bdo anata kua na me je nifanyeje..?
 
Ngoja akwambie mwenyewe. Ukute hao ndugu wametunga tu...
 
Back
Top Bottom