Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Umesema ni 12,000 au 120,000?
Kenyan shillings,Sasa we dogo, kununua mbususu kwa elfu kumi na mbili (12,000) unaona umetoa hela nyingi.
Si mkuwe mnasoma taratibu jamani..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema ni 12,000 au 120,000?
Kenyan shillings,Sasa we dogo, kununua mbususu kwa elfu kumi na mbili (12,000) unaona umetoa hela nyingi.
mkazie akulipe hela yako,, ukishaingia tu kwenye mtego wake hela yako sahau😌Mkuu hapa unanipa ushauri gani?
Sms hiyo amekutumia kwanza usifute ushahidi mzuri sana. Mwambie hii utaenda kwa mmewe utaelezea yote yaliyo tokea. Afu wakati una mdai yeye kakujibu hiyo sms muonyeshe mmewe.Salute Comrades!
Kuna hii ishu ambayo imenifikirisha Sana mpaka nimeona niilete kwenu wadau mnipe mawazo yenu.
Yupo mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi ya kuuza bidhaa mbali mbali Kama vile mahindi,maharage,ndizi,karanga na mazaga zaga mengine Kama haya.
Basi huyu mwanamke Kuna kipindi alinifata dukani kwangu akaniomba nimkopeshe KSh 12,000 akaizungushe kwenye biashara Yake na akaahidi kuirudisha baada ya wiki 3.
Nikaona isiwe taabu ngoja nimsaidie huyu dada wa watu nikachukua 12000 nikamkabidhi bila hiyana akaenda.
Siku zikaenda wiki tatu alizoniahidi kunirudishia hell yangu nazo zikapita dada wa watu bado hastuki tu.Ikabidi nimkumbushie kuhusu Deni langu akaanza kuzuga zuga tu na kunipiga kalenda eti nisubiri kidogo ananiandalia hela yangu.
Mpaka nakuja kuomba ushauri wenu miezi miwili imepita Sasa lakini huyo dada bado ananizungusha hela yangu Hadi nimechoka kumdai.
Huyu mwanamke nimejuana naye tu kibishiara Kuna muda huwa naenda kwake kununua bidhaa mbali mbali kwa hiyo tumezoeana kibishiara tu Wala Sina uhusiano mwingine naye zaidi ya huu wa kibishiara na ukizingatia Ni ameolewa Ana mume na wamebarikiwa watoto wawili.
Sasa leo nimemfata Hadi kazini kwake nikamkoromea Sana na kumwambia anipe hela yangu nisepe sitaki mambo mengi amenikwamisha pakubwa Sana.Aisee mwanamke baada ya kuona hasira zangu amejishusha Sana na kunililia nimuonee huruma mixer kuniambia vijisababu mbali mbali eti ooh kwao walikuwa na msiba kwa hiyo muda huu Hana hela nimvumilie tu.
Nimeondoka nikiwa na hasira Sana kwa sababu sikutaks kuendelea kusikiliza ngojera zake.
Mwanamke aibu imemtoka akanitumia message ndefu Sana akaniambia ako tayari kunilipa penzi ili niweze kumsamehe Deni la pesa yangu.Akaniambia Kama vipi nitafute lodge nzuri nilipie chumba anipe penzi ambalo mwenyewe anadai hajawahi kumpa mumewe hata siku moja.Baada ya kusoma huo ujumbe wake aisee nimechoka Sana na Ni dhahiri kwamba huyu mwanamke anataka kunikatili hela yangu mazima.
Wakuu, nitumie mbinu gani kumdai huyu mwanamke maana mi sitaki kuendekeza ujinga allioniambia kwa message na pia naheshimu Sana ndoa za watu.Nawaza niende kazini kwake nibebe bidhaa zitakazotosha kufidia Deni langu ila moyo unagoma nahisi nitakuwa namuumiza zaidi.
Pia nikifikiria kusaheme Deni la Ksh12000 naona haiwezekani kbsa hiyo Ni hela nyingi Sana.
Ushauri wenu utanifaa zaidi.Karibuni.
Muachie tu hizo pesa. Amekupa kisingizio cha kumkatalia siku nyingine akiomba mkopo.Salute Comrades!

Kula zigo hilo mzee maana unaweza Susa na hela usipeweSalute Comrades!

Ni 12000 kshSasa we dogo, kununua mbususu kwa elfu kumi na mbili (12,000) unaona umetoa hela nyingi.
Ahahahah..uso wa mbuzi ila unacheka cheka kidogo kama Mkwere wa msoga.Ndio style yangu hii .Sipendelei kuchanganya mapenzi na kazi.Ni sumuUkishachanganya tu biashara na mapenzi, kukopesha, nk. Tayari unaelekea kushindwa. Wakati fulani yanapokuna masuala kama haya unatakiwa uwe na uso wa mbuzi.
Ulimhonga 12K, maana mwanamke hakopeshwi..Salute Comrades!
Kuna hii ishu ambayo imenifikirisha Sana mpaka nimeona niilete kwenu wadau mnipe mawazo yenu.
Yupo mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi ya kuuza bidhaa mbali mbali Kama vile mahindi,maharage,ndizi,karanga na mazaga zaga mengine Kama haya.
Basi huyu mwanamke Kuna kipindi alinifata dukani kwangu akaniomba nimkopeshe KSh 12,000 akaizungushe kwenye biashara Yake na akaahidi kuirudisha baada ya wiki 3.
Nikaona isiwe taabu ngoja nimsaidie huyu dada wa watu nikachukua 12000 nikamkabidhi bila hiyana akaenda.
Siku zikaenda wiki tatu alizoniahidi kunirudishia hell yangu nazo zikapita dada wa watu bado hastuki tu.Ikabidi nimkumbushie kuhusu Deni langu akaanza kuzuga zuga tu na kunipiga kalenda eti nisubiri kidogo ananiandalia hela yangu.
Mpaka nakuja kuomba ushauri wenu miezi miwili imepita Sasa lakini huyo dada bado ananizungusha hela yangu Hadi nimechoka kumdai.
Huyu mwanamke nimejuana naye tu kibishiara Kuna muda huwa naenda kwake kununua bidhaa mbali mbali kwa hiyo tumezoeana kibishiara tu Wala Sina uhusiano mwingine naye zaidi ya huu wa kibishiara na ukizingatia Ni ameolewa Ana mume na wamebarikiwa watoto wawili.
Sasa leo nimemfata Hadi kazini kwake nikamkoromea Sana na kumwambia anipe hela yangu nisepe sitaki mambo mengi amenikwamisha pakubwa Sana.Aisee mwanamke baada ya kuona hasira zangu amejishusha Sana na kunililia nimuonee huruma mixer kuniambia vijisababu mbali mbali eti ooh kwao walikuwa na msiba kwa hiyo muda huu Hana hela nimvumilie tu.
Nimeondoka nikiwa na hasira Sana kwa sababu sikutaks kuendelea kusikiliza ngojera zake.
Mwanamke aibu imemtoka akanitumia message ndefu Sana akaniambia ako tayari kunilipa penzi ili niweze kumsamehe Deni la pesa yangu.Akaniambia Kama vipi nitafute lodge nzuri nilipie chumba anipe penzi ambalo mwenyewe anadai hajawahi kumpa mumewe hata siku moja.Baada ya kusoma huo ujumbe wake aisee nimechoka Sana na Ni dhahiri kwamba huyu mwanamke anataka kunikatili hela yangu mazima.
Wakuu, nitumie mbinu gani kumdai huyu mwanamke maana mi sitaki kuendekeza ujinga allioniambia kwa message na pia naheshimu Sana ndoa za watu.Nawaza niende kazini kwake nibebe bidhaa zitakazotosha kufidia Deni langu ila moyo unagoma nahisi nitakuwa namuumiza zaidi.
Pia nikifikiria kusaheme Deni la Ksh12000 naona haiwezekani kbsa hiyo Ni hela nyingi Sana.
Ushauri wenu utanifaa zaidi.Karibuni.
12,000 mkuuUmesema ni 12,000 au 120,000?
Ulimhonga 12K, maana mwanamke hakopeshwi..
Sasa ni wewe tu kuchagua kumla au kumsamehe. Ila Kwa kuwa ni mke wa mtu, ni vizuri usamehe
Hakika mkuy nimeupenda huu ushauri wako nitaufanyia kazi nione Kama utawe a kunisaidiaMbinu ni tatu tu na atakulipa pesa yako fasta
Hiyo sms ambayo ame kutumia kuwa yupo tayari kukupa penzi ambalo hata mme wake hajawahi kumpatia nenda nayo mpaka Kwa mme wake Na umuonyeshe, hiyo mbinu ya kwanza
Ya pili- mwambie kuwa kama hajakupa pesa yako kwenye wiki hii mtishie kuwa utaenda kumuonyesha mme wake hiyo sms
Ya tatu- lipia lodge kama alivyokwambia na mrekodi yaani mchukue video mkiwa mpo faragha kisha baada ya tendo muonyeshe hizo video mwambie asipokulipa pesa yako kuwa utatafuta namba ya mume wake na utamtumia hizo video
Chagua njia moja hapo Na ujipatie pesa yako fasta
Okay fineKula zigo hilo mzee maana unaweza Susa na hela usipewe
Kwa biashara 240k ni kubwa, japo kwa kuhonga ni ndogo...zingatia ( biashara)12k ya Kenya ni less than 240k Tanzanian Shillings.
Kuwa mwanaume, chagua kukataa hiyo ngono ama chagua kumsamehe.