She wants to pay me "in kind"

Mpe siku kamili za kukurudishia pesa yako, mfano mwambie ndani ya siku 3 iwe keshakupa pesa yako kinyume na hapo unaenda kumuonyesha mumewe msg aliyokutumia ya kukuahidi papa.

Unless unataka kununua papa kwa Ksh 12,000 which in that case inabidi unegotiate zaidi kwa kudai zaidi ya game moja kwa siku tofauti na lodge alipie yeye sio wewe.
 
Sms hiyo amekutumia kwanza usifute ushahidi mzuri sana. Mwambie hii utaenda kwa mmewe utaelezea yote yaliyo tokea. Afu wakati una mdai yeye kakujibu hiyo sms muonyeshe mmewe.

Ukiona hajali wala kusikitika basi jua yeye na mmewe lao moja. Wanataka uende lodge wakufumanie upigwe hela nyingi zaidi. Usikubali mtego huo. Alipe as you gave her.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Muachie tu hizo pesa. Amekupa kisingizio cha kumkatalia siku nyingine akiomba mkopo.
Amandla...
 
Kula zigo hilo mzee maana unaweza Susa na hela usipewe
 
Ukishachanganya tu biashara na mapenzi, kukopesha, nk. Tayari unaelekea kushindwa. Wakati fulani yanapokuna masuala kama haya unatakiwa uwe na uso wa mbuzi.
Ahahahah..uso wa mbuzi ila unacheka cheka kidogo kama Mkwere wa msoga.Ndio style yangu hii .Sipendelei kuchanganya mapenzi na kazi.Ni sumu
 
Ulimhonga 12K, maana mwanamke hakopeshwi..
Sasa ni wewe tu kuchagua kumla au kumsamehe. Ila Kwa kuwa ni mke wa mtu, ni vizuri usamehe
 
Hakika mkuy nimeupenda huu ushauri wako nitaufanyia kazi nione Kama utawe a kunisaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…