Bila kumsahau mkeo wa hiari Lady doctor.
Mzee naomba maoni yako kuhusu hii kitu, mimi nimeshindwa kuizoea, inanipa shida. Nikiwa ofisini mdada akijipakaa hii kitu, najisikia ovyoBila kumsahau mkeo wa hiari Lady doctor.
Lady doctor unamwaga likes tu, naomba unijibu hayo maswaliTengua kauli Mzee!!! Mke wangu mpenzi Lady doctor yuko nachuro, hajipaki hayo makitu ya kuiga!
Tengua kauli Mzee!!! Mke wangu mpenzi Lady doctor yuko nachuro, hajipaki hayo makitu ya kuiga!
Lady doctor unamwaga likes tu, naomba unijibu hayo maswali
Tengua kauli Mzee!!! Mke wangu mpenzi Lady doctor yuko nachuro, hajipaki hayo makitu ya kuiga!
my dia, hebu rudi uniangalie tena, sina wanja wala shedo... Ngoja nikuitie my wii Heaven on earth aje akujibie maana kidoogo ye ana ka idea ya urembo mapambo!
Kweli mapenzi ni upofu. Au haujui maana ya nachuro??
Basi naomba mtazamo na msimamo gani juu ya Shedo? Na kwanini hutumii?
Hebu thibitisha kuwa hayanihusu.
Kwa uelewa wangu shedo unapaka machoni.Kwahio nitajieleza kuhusu hio eye shadow...Wapendwa wadau wa jukwaa hili, sina hakika kama hapa ni sehemu sahihi ya post yangu!
Naomba kuweka wazi, mimi ni Me, hii kitu inayoitwa shedo wanayojipakaa wadada inanipa shida.
Nawaomba wadada, mnaopenda na kujua hii kitu mnifafanulie juu ya haya yafuatayo
1. Mazingira yapi ni sahihi kujipakaa hiyo shedo-kazini au kwenye functions?
2. Najua wengi mnapenda kumechisha- unatakiwa/unaruhusiwa kujipakaai rangi ngapi kwa wakati Mmoja
3. Na sehemu gani ya mwili ni muafaka kujipakaa hiyo shedo?
4. Ni nani hasa anatakiwa kujipakaa hiyo shedo?
5. Wanaojipakaa hii kitu mnakusudia nini hasa?
Kwa wanaume naomba comments zenu juu ya hii shedo, unaichukuliaje? Manzi wako akijipakaa hii kitu how do yo feel? Easy or uneasy?
Nimeuliza haya sababu naona hakuna utaratibu au kanuni juu ya hii kitu, mambo ni hobela hobela
CC amu, @lara1, Heaven on earth, Kiranga, Preta, King'asti, snowhite, MziziMkavu, mimi49, lady furahia, charminglady, kipipi, @gifsonwin, Fixed Point, AshaDii, Mrembo by Nature, Bishanga, watu8,
njoo huku kona nikuthibitishie