Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

Muislamu wa kweli hawezi kuwa sehemu ya dhuluma na uonezi. Hongera kwake kwa kufanya uamuzi sahihi
Sio uislami wala nini..ni maslahi ya chama tu..kama angekua muislam safi asinge thubutu kujiiingiza kwenye siasa za ccm ambazo zimejaa unafiki na dhuruma...

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom