Shehe Adai Muhammad Alifanya kazi kwa Mshangazi

Shehe Adai Muhammad Alifanya kazi kwa Mshangazi

Wakristo wanaongoza kuwachafua waislam humu... lakini walivyo wanafiki wanasema waislam ndio waanzilishi wa kuwachafua....
 
Mshangazi ulikuwa unamsaidia majukumu binti wa miaka 9 jamani. Hilo litakuwa kweli kabisa kama limetamkwa na shehe mwenye ilmu yake.
 
Tutafute toleo la Kiingereza tuone hicho kifungu kilichotaja neno Aunt
 
Mudy alikuwa ni kijana wa hovyo sana, mbupu zake zilikuwa zinamtetema kila dakika.
 
Kaa kwa kutulia vijana watiifu wa mudy wanakuja kukupopoa na mawe sio mda hapa!.
Alhamdulillah Waislamu tushajua msingi wa mada kama hizi . Muislamu mpuuzi atakuja hapa kutukanana na kujadiliana kwenye Mada ambazo zimeanzishwa kwa misingi ya uchokozi na kuukejeli Uislamu.

Maisha haya tushazoea Jf , hii ndio default mode ya Wakristo Kuna kipindi walikuwa wanajaza jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko maana za kuukejeli Uislamu walipona kutokana na vuguvugu la maandamano wakawa wanafosi umoja sasa ndio muda wao wa kurudi na kawaida kwenye default mode Yao.

Watakuja watapata sapoti ya watukanaji watatukana na kukeji kazi inaisha sisi tunafanya yetu ya msingi maisha yanasonga . Mimi binafsi kwa siku nakutana na tag kibao wakina MK254 na wenzake wakinitag kwenye nyuzi zao kama hizi na huwa siwajibu wala kuwafuta kujadili nao
 
Back
Top Bottom