Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Watulie, shehe wao amekiri kuwa kwenye daftari lao kuna suala la mishangazi.Kaa kwa kutulia vijana watiifu wa mudy wanakuja kukupopoa na mawe sio mda hapa!.
Ngoja waje utakoma.kuzaliwa? Mtume na mishangazi wapi na wapi?!!!
😁😃😄😄Kaa kwa kutulia vijana watiifu wa mudy wanakuja kukupopoa na mawe sio mda hapa!.
Mkuu achana na hizi mambo. Hazileti haki wala maendeleo kwa watu.Watulie, shehe wao amekiri kuwa kwenye daftari lao kuna suala la mishangazi.
Huyo sheikh ni mkristo?Wakristo wanaongoza kuwachafua waislam humu... lakini walivyo wanafiki wanasema waislam ndio waanzilishi wa kuwachafua....
Unamuonea mtoa mada, wewe pambana na sheikhMkuu achana na hizi mambo. Hazileti haki wala maendeleo kwa watu.
Huyo shehe kawa mkristo lini? Je anasema uongo?Wakristo wanaongoza kuwachafua waislam humu... lakini walivyo wanafiki wanasema waislam ndio waanzilishi wa kuwachafua....
Alhamdulillah Waislamu tushajua msingi wa mada kama hizi . Muislamu mpuuzi atakuja hapa kutukanana na kujadiliana kwenye Mada ambazo zimeanzishwa kwa misingi ya uchokozi na kuukejeli Uislamu.Kaa kwa kutulia vijana watiifu wa mudy wanakuja kukupopoa na mawe sio mda hapa!.