Pre GE2025 Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Pre GE2025 Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hujaandika Boni Yai kuwa mwenyekiti kwa sababu si Muislam mwenzio.Udini shida sana!
Tafadhali usije kupitwa na Taarifa hii, kwamba Shehe Msomi Ally Kadogoo leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, baada ya kujizolea 66% ya kura zote.

Uchaguzi huu ulifanyika Kibaha Mkoa wa Pwani

View attachment 3116375
 
Hawa maustaadh ndio wanaifaa CDM Kwa sasa maana wengi wao sio watu wanafikiwanafiki inapofika kwenye issue serious za kutetea watu.
Wengi wao pia sio wanaopenda kuiishi sana Dunia hivyo suala la rushwa na kuhongwa wengi wao sio kipaumbele.
 
Ukishaona shehe anajihusisha na siasa ujue uyo ni shehena

..kwa changamoto na misukosuko wanayopitia Chadema Shekhe yeyote akijiunga nao lazima atakuwa ni Mzalendo na mpenda HAKI wa kweli.
 
Back
Top Bottom