johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ila asijaribu kuugusa MsikitiLeo NETANYAHU amesema Gaza yote itakuwa parking ya magari baada ya vita
Wayahudi ni mungu wa wakristo.Kwani wayaudi ni wakristo...?
Kwa hiyo mwenye makosa ni Ibrahim au Mungu aliyemtoa huko na kuja kumpa hapo. Cc wakristo tumeaswa kuwabariki waisrael na kuwatendea kwa wema. Tunachojua kwa mujibu wa Bible caananites wote waliangamizwa kwasababu ya laana.Shehe Dkt. Sule amesema Waislamu watawatetea Wapalestina katika swala la Israel kwa sababu Msikiti wa Al Aqsa ni mali ya Waislam siyo Wayahudi
Dkt. Sule amesema kwa sasa Msikiti wa Al Aqsa unamilikiwa na Wayahudi lakini wanaoswali mule ndani ni Waislamu jiulize kwanini!
Shehe Dkt. Sule amesema Wayahudi waache propaganda Ukweli ni kwamba Ibrahim alivyotoka Iraq na kuhamia Caanan aliowakuta Watu ambao ni Wapalestina na baadae akaanza kununua Mashamba na hata Yerusalemu ilikuwa ni Shamba
Itaendelea.....
Mlale Unono 😀
The U.S. government estimates the total population at 8.9 million (midyear 2022). According to the country's Central Bureau of Statistics (CBS) classification system (2021 data), approximately 73.8 percent of the population is Jewish, 18 percent Muslim, 1.9 percent Christian, and 1.6 percent Druze.13 May 2023Kwani wayaudi ni wakristo...?
Msikiti uko kwenye ardhi ya Israeli, Israeli inayohaki ya kufanya cho chote kuhusiana na mskiti huo!
Asijaribu kivipi wakati huo msikiti ni hekalu la bwana miaka yote.Ila asijaribu kuugusa Msikiti
Hiyo siyo hoja! Ardhi ni mali ya Serikali siyo mali ya kikundi au mtu binafsi!Ukumbuke 20% ya Waisrael ni Waislam na waliobaki ni Jewish
Na WaislamWayahudi ni mungu wa wakristo.
Akuanza kununua mashamba la bali alinunua kiwanja cha kuzikia kwa wenyeji,hoja ya msingi iburahimu alipo hamia palesita kutoka Iraq na mkewe waliwakuta watu ambao ndio wapalestina waleoShehe Dkt. Sule amesema Waislamu watawatetea Wapalestina katika swala la Israel kwa sababu Msikiti wa Al Aqsa ni mali ya Waislam siyo Wayahudi
Dkt. Sule amesema kwa sasa Msikiti wa Al Aqsa unamilikiwa na Wayahudi lakini wanaoswali mule ndani ni Waislamu jiulize kwanini!
Shehe Dkt. Sule amesema Wayahudi waache propaganda Ukweli ni kwamba Ibrahim alivyotoka Iraq na kuhamia Caanan aliowakuta Watu ambao ni Wapalestina na baadae akaanza kununua Mashamba na hata Yerusalemu ilikuwa ni Shamba
Itaendelea.....
Mlale Unono [emoji3]
Unafuta njia ya kukataa ukweli bila hoja,kufa kulala bhana hata wewe sio muda mrefu utaitwa mfu hata hao unao wasifia kuwaua waisilamu nao pua zao zimeangalia chiniMmekalia maneno tu. Wasaidieni waislamu wenzenu Wanachezea kipigo cha Nguruwe pori.
Nikweli wayahudi walimua mungu wa wakirito kisha wakamtundika msalabani?Wayahudi ni mungu wa wakristo.
Wakirito awajatajwa na biblia sababu yesu hakuacha watu wanao itwa wakirito mashariki ya katiKwa hiyo mwenye makosa ni Ibrahim au Mungu aliyemtoa huko na kuja kumpa hapo. Cc wakristo tumeaswa kuwabariki waisrael na kuwatendea kwa wema. Tunachojua kwa mujibu wa Bible caananites wote waliangamizwa kwasababu ya laana.