Shehe Dkt. Sule: Kinachowaunganisha Waislamu na Wapalestina ni Msikiti wa Al Aqsa siyo Ardhi. Wakristo hawahusiki kwa lolote!

Shehe Dkt. Sule: Kinachowaunganisha Waislamu na Wapalestina ni Msikiti wa Al Aqsa siyo Ardhi. Wakristo hawahusiki kwa lolote!

Wewe hujaelewa kinachoongelew. Sule katiwa maoni yake, au yakubali au yakatae kwa hoja.

Msikilize huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uyahudi anasema nini?


View: https://youtu.be/L0ZFeDWhlDo?si=muFLlIPdQ04oVXSs

Sasa jiulize, nikuamini wewe? Au nimuamini Sule? Au nimuamini huyu aliyekuwa waziri mkuu wa Israel?

Acha propaganda za kutengenezwa na kuhaririwa na waarabu you tube Faiza.Na huyo sule ana habari ya upande mmoja tu wa waislamu na waarabu.
Tatizo waarabu waislamu na waislamu wana chuki na wayahudi sababu wameshindwa kuifuta dini yao iliyozalisha ukristo.
NB: HIYO HOTUBA NADHANI HUJAIELEWA NA HUJUI WAZIRI MKUU MEIR ALIKUA ANAZUNGUMZIA NINI.
NA ILIKUA KWENYE KIKAO GANI NA MWAKA GANI???
UNALETA USHABIKI TU WA KIDINI NA CHUKI BINAFSI DHIDI YA WAYAHUDI
 
Jifunze kwanza kuandika mkuu. Mbona sisi tunajua huyo Mzee wenu mbakaji mnamuita nabii tumekaa kimya.
Wakirito awajatajwa na biblia sababu yesu hakuacha watu wanao itwa wakirito mashariki ya kati
 
Shehe Dkt. Sule amesema Waislamu watawatetea Wapalestina katika swala la Israel kwa sababu Msikiti wa Al Aqsa ni mali ya Waislam siyo Wayahudi

Dkt. Sule amesema kwa sasa Msikiti wa Al Aqsa unamilikiwa na Wayahudi lakini wanaoswali mule ndani ni Waislamu jiulize kwanini!

Shehe Dkt. Sule amesema Wayahudi waache propaganda Ukweli ni kwamba Ibrahim alivyotoka Iraq na kuhamia Caanan aliowakuta Watu ambao ni Wapalestina na baadae akaanza kununua Mashamba na hata Yerusalemu ilikuwa ni Shamba

Itaendelea.....

Mlale Unono 😀
Kwan huo msikiti wamejenga kwene ardhi ya nani??
 
Tukiongelea mashariki ya kati inawahusu waisilamu tu wakirito hawa husiki sababu muanzilishi wa ukirito Paul alikuwa mpingaji mkuu wa yesu mpaka akawaua wanafunzi wake kwa kuwakata vichwa baada ya yesu kupaa mbinguni,bora ya yahudi kidogo sababu yeye anagobea kipande cha aridhi alicho nunua bubu yake Aburahamu mtume wawakirito Paul wala hana ukaribu wowote na iburahimu wala yesu wala isumshiri wala isiaka bali yeye alikuwa mpingaji wa yesu pia alikuwa khanithi
Kwa mwandiko huu unapata wapi ujasiri wa kuargue na watu wenye akili?
Nchi hii uhuru umezidi kupita kiasi
 
Back
Top Bottom