Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Acha propaganda za kutengenezwa na kuhaririwa na waarabu you tube Faiza.Na huyo sule ana habari ya upande mmoja tu wa waislamu na waarabu.Wewe hujaelewa kinachoongelew. Sule katiwa maoni yake, au yakubali au yakatae kwa hoja.
Msikilize huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uyahudi anasema nini?
View: https://youtu.be/L0ZFeDWhlDo?si=muFLlIPdQ04oVXSs
Sasa jiulize, nikuamini wewe? Au nimuamini Sule? Au nimuamini huyu aliyekuwa waziri mkuu wa Israel?
Tatizo waarabu waislamu na waislamu wana chuki na wayahudi sababu wameshindwa kuifuta dini yao iliyozalisha ukristo.
NB: HIYO HOTUBA NADHANI HUJAIELEWA NA HUJUI WAZIRI MKUU MEIR ALIKUA ANAZUNGUMZIA NINI.
NA ILIKUA KWENYE KIKAO GANI NA MWAKA GANI???
UNALETA USHABIKI TU WA KIDINI NA CHUKI BINAFSI DHIDI YA WAYAHUDI