Na hoja yako hii ni kuwa hata hiyo ya kiarabu essence yake ni kutokana na mzunguuko wa mwezi ila bado tunaiita kalenda ya kiislam kwakuwa inahesabu kutoka pale Mtume alivyohama kutoka madina kwenda Makkah la si hivyo tusingeiita ya kiislamEssence ya calender sio inaanza kuhesabiwa wapi bali mzunguko wake unategemea wapi
Kosa lako nikufananisha mapokeo ya kiislamu na Ukristo. Ukristo inamisingi ya kiimani tofauti na Kiislamu. Usilazimishe mambo.Na hoja yako hii ni kuwa hata hiyo ya kiarabu essence yake ni kutokana na mzunguuko wa mwezi ila bado tunaiita kalenda ya kiislam kwakuwa inahesabu kutoka pale Mtume alivyohama kutoka madina kwenda Makkah la si hivyo tusingeiita ya kiislam
Kwani hiyo unayoita ya kiislamu haijafanyiwa marekebisho na toka lini marekebisho yakaondoa uasili wa kituKosa lako nikufananisha mapokeo ya kiislamu na Ukristo. Ukristo inamisingi ya kiimani tofauti na Kiislamu. Usilazimishe mambo.
Japo Gregorian calendar ilitangazwa na Papa Gregory XIII mwaka 1582 ( hapa ndio ilianza kutumika) ili kufix Julian calendar ( iliyotangazwa na Kaisali Julius mwaka 45 BCE kwahiyo Yesu alizaliwa wakati wa Julian Calendar sio Gregorian) iliyokuwa na makosa katika calculations ( ilionekana kupoteza siku Moja baada ya miaka 128). Gregorian calendar has nothing to do with christian faith. It is only a 365-day solar dating system ambayo nayo sio perfect inawezekana mbeleni ikarekebishwa tena ( kwani hii inapoteza siku Moja baada ya miaka 7700, kwahiyo inavumilika).
Mwaka mpya (January mosi) sio sherehe ya kikristo is only civilian. Kuwe mapumziko kusiwe mapumziko haiathili Imani ya kikristo kwani Haina msingi wowote kimaandiki na kimapokeo.
Sasa usichoelewa nini hapo ( ni swala la calculations tu sio Imani, hata muislamu Anaweza fanya tu).
Kwahiyo unapoomba mapumziko ya mwaka mpya wa kiislamu usifanye in reference to January mosi kwamba ni ya Kikristo Ili kujustify maombi yako kwamba mbona wakristo wanapumzika. Is totally wrong. Ile sio sikukuu ya kikristo. Pambana kivyako.
Na hii hoja yako ni sawa na kusema US dola sio ya marekani kwakuwa inatumika duniani kote hata hiyo kalenda ya kiislamu ikiafikiwa itumike na mataifa yote duniani inatumika ila haitaondoa uhalisia kuwa Genesis yake ni kuhama kwa Mtume kutoka Madina kwenda MakkahMwaka mpya (January mosi) sio sherehe ya kikristo is only civilian.
Ni kweli. Kwa waliopokea na kupwakia bila kuelewa wala kushuku na kujitafia maarifa ni makosa kulinganisha hivi viwiii vyote ni watoto wa baba mmoja Ibrahim aka Abrahamic religions. Naachia hapo. Jitafutie maarifa uheshimike na kuficha ujinga wako.Kosa lako nikufananisha mapokeo ya kiislamu na Ukristo. Ukristo inamisingi ya kiimani tofauti na Kiislamu. Usilazimishe mambo.
Japo Gregorian calendar ilitangazwa na Papa Gregory XIII mwaka 1582 ( hapa ndio ilianza kutumika) ili kufix Julian calendar ( iliyotangazwa na Kaisali Julius mwaka 45 BCE kwahiyo Yesu alizaliwa wakati wa Julian Calendar sio Gregorian) iliyokuwa na makosa katika calculations ( ilionekana kupoteza siku Moja baada ya miaka 128). Gregorian calendar has nothing to do with christian faith. It is only a 365-day solar dating system ambayo nayo sio perfect inawezekana mbeleni ikarekebishwa tena ( kwani hii inapoteza siku Moja baada ya miaka 7700, kwahiyo inavumilika).
Mwaka mpya (January mosi) sio sherehe ya kikristo is only civilian. Kuwe mapumziko kusiwe mapumziko haiathili Imani ya kikristo kwani Haina msingi wowote kimaandiki na kimapokeo.
Sasa usichoelewa nini hapo ( ni swala la calculations tu sio Imani, hata muislamu Anaweza fanya tu).
Kwahiyo unapoomba mapumziko ya mwaka mpya wa kiislamu usifanye in reference to January mosi kwamba ni ya Kikristo Ili kujustify maombi yako kwamba mbona wakristo wanapumzika. Is totally wrong. Ile sio sikukuu ya kikristo. Pambana kivyako.
What a fallacy argument!Ni kweli. Kwa waliopokea na kupwakia bila kuelewa wala kushuku na kujitafia maarifa ni makosa kulinganisha hivi viwiii vyote ni watoto wa baba mmoja Ibrahim aka Abrahamic religions. Naachia hapo. Jitafutie maarifa uheshimike na kuficha ujinga wako.
We jamaa unajadili accidental badala ya essence ya vitu mara Madina sijui makkah.Na hii hoja yako ni sawa na kusema US dola sio ya marekani kwakuwa inatumika duniani kote hata hiyo kalenda ya kiislamu ikiafikiwa itumike na mataifa yote duniani inatumika ila haitaondoa uhalisia kuwa Genesis yake ni kuhama kwa Mtume kutoka Madina kwenda Makkah
Umechagua kutokuelewa sio.Kwani hiyo unayoita ya kiislamu haijafanyiwa marekebisho na toka lini marekebisho yakaondoa uasili wa kitu
Yani wewe umegundua kitu mwenzio akaja kufanyia marekebisho inaondoa uasili wa kitu ulichogundua?
Hata hijr kalenda ni mzunguuko wa miezi 12 kwa kufuata muandamo wa mwezi pia haihusiani na dini ya kiislam maaana mwezi na jua ni natural bodiesGregorian calendar has nothing to do with matters of faith i
January mosi ni mwaka wa kuzaliwa kwa yesu na leo ni takriban miaka 2026 toka kuzaliwa kwake endelea kukaza fuvuUkristo unasikukuu kubwa mbili Pasaka na Christmas. Not a New Year.
Nimekuuliza kuwa, marekebisho ya kitu huondoa uasili wa kitu? NijibuUmechagua kutokuelewa sio.
Calendar hii imeanza hata Kabla Yesu hajazaliwa na Kaizari Julius. Alichofanya Gregory ni kurekebisha tu calculations ya siku Moja kupote baada ya mzunguko wa miaka 128. Sasa hapo unauhusianaje na Imani. Nini uelewi hapo
Nonsense 🚮January mosi ni mwaka wa kuzaliwa kwa yesu na leo ni takriban miaka 2026 toka kuzaliwa kwake endelea kukaza fuvu
Hamna kitu unaweza elewaNimekuuliza kuwa, marekebisho ya kitu huondoa uasili wa kitu? Nijibu
Shule zenyewe hizo za kukariri what is geography upuuziNonsense 🚮
Madrasa sio shule
Go to school.
Rudi tena ukakariri madesa upewe degreee nyingine ya ujinga maana umeona kukariri madesa ni diliHamna kitu unaweza elewa
Madrasa is not a school.
Bye
Do you mean fallacious argument or what?What a fallacy argument!
Kama ni watoto wa baba mmoja Ibrahim so what?
Peculiarity and diversity is always there hata Kwa mapacha waliotokana na yai Moja, Dini Moja, familia Moja n.k. sembuse mambo ya Imani Kati ya Ukristo na Muislamu kisa Ibrahim.
Hoja hapa ni Calendar tu.