Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?

Unaogopa nini kutumia ID yako ya zamani?
Unajua kama tutakuona kwa kiasi gani ulivyo mpumbavu na mjinga wa hali ya juu.
Pumbafffff.

Uwe unaficha ujinga wako.
Ni kweli. Kwa chawa na zwazwa yeyote, uzi huu ni upumbavu ila siyo sawa na uliouandika hapa nyumbu wewe. Senzi kabisa. Mafi ya kuku kabisa. Kwani wewe ID yako haifichi wewe ni nanyi japo twajua wewe ni chawa?
 
View attachment 3610853View attachment 3610857View attachment 3610858
Taratibu, ule, msimamo kuwa nchi haina dini ila watu wake wana dini unaanza kumomonyolewa tena na wale usiowategemea. Naona kama Zenj, taratibu, inaanza kuwa taifa la kiislam. Ni bahati mbaya na hasara kiasi gani. Nilidhani msomi kama Daktari Mwinyi asingekuwa hovyo hivi. Ama kweli, elimu ya mja haiondoi upumbavu wa mhusika. Je, tungoje na Tanzania nzima kuwa taifa la kiislam? Je, hatua hii haivunji muungano japo ushavunjika zamani kwa kukosa maana na mantiki? Zaidi ya hitajio la kuvunja huu muungano wa kinafiki na kinyonyaji, nini kifanyike kuunusuru kama kweli unapaswa kunusuliwa? Je, kwa uchawa, ukihiyo na uzwazwa uliopo, kuna mtanzania mwenye uwezo wa kukemea na kukomesha udini na uhafidhina huu uchwara? Je, na Bara ikitangaza kuwa ni taifa la kibantu lenye dini asilia kinzani na hizi nyemelezi na za kitumwa, itakuwaje? Je inawezekana wakati huu chini ya huyu expert?
Kuna ushahidi hata mmoja uweka hapa kusapoti madai yako zaidi ya tuhuma?
Weka ushahidi kamili na wa wazi unaoonysha madai yako ni ya kweli
Zanzibar kuishi kama waislamu hio haki yao, hawahitaji kupangiwa jinsi ya kuishi na nyinyi watanganyika
 
Unataka ushahidi gani nikupe kama hukuelewa inshu?
 
Hapa sio kijiweni, unalopolopo tu
Uko kwenye forum inakupa nafasi ya kuweka ushahidi wa madai au tuhuma yoyote utakayoileta hapa ilimichambuliwe na kujadiliwa, hatuwezi kujadili tuhuma bila ushahidi!
Mfano nikisema nyerere alimuua karume, ninaweza kukuletea angalau scenario na matkuio yakayaoleta maana beyond reasonable doubt
Sasa wewe kalete huo ushahidi wa hizi tuhuma zako, sio unamuweka Mwinyi kavaa kanzu anatembea na mwarabu basi tukuamini, mbona wazazibari walikuwa wanavaa kanzu miaka yote, unataka wavae kaunda suti ?
 
Nani kasema ni kijiwe kama siyo wewe mtu wa kijieweni? Ushahdi gani unataka wakati kwa sasa Zanzibar imefanya siku ya mwaka wa kiislamu siku ya mapumziko? Mbona rahisi hivyo, unashindwa wapi?
 
Nigeria sio nchi ya kiislamu kikatiba, lakini mikoa yote yeneye waislamu ilikuwa siku ya mapumziko,
Egypt sio nchi ya kiislamu kikatiba, lakini ilikuwa mapumziko ya kitaifa
Gambia sio nchi ya kiislamu kikatiba, lakini ilkuwa siku ya mapumziko
Lebanon sio nchi ya kiislamu, na ina wakristo wengi kuliko nchi yoyote ya kiirabu, na ilikuwa siku ya mapumziko
Na hizi zote ilikuwa siku ya mapumziko, Mali, Niger, Chad na zipo nyingi tu
Kwanini Zanzibar ikifanya hivyo inakuwa tatizo kwa nyinyi wagalatia?
Mbona mnawalazimisha kuwa siku ya mapumziko pasaka na Christmas, kwani hizo siku zinawahusu nini ?
 
Kwani lazima tuigize wengine ambao hatujui sababu zilizowafanya kuweka utaratibu huo? Nchi zote ulizotaja zina mazingira ya kisiasa tofauti na yetu. Pale Nigeria kwa mfano kuna nini la kujifunza wakati uislam unazidi kuiangamiza Nigeria? Sio kila wafanyacho wengine kinafaa kuigwa bila kujua sababu za kufanya hivyo mwanangu. Ni ushauri wa bure tu.
 
Papa Gregory, Gregorian calendar
Gregory Mendelz alistate three laws of inheritance. Huyu alikuwa Padre wa Kanisa katoliki, utafiti wake auhusiani na Imani ya Kanisa, ni scholar kama scholar yeyote yule wa biolojia. The same apply to Pope Gregory XIII na calendar yake ambayo inategemea mzunguko wa jua na ndio imekubaliwa kama civil calender duniani. Hii iliundwa kama mbadala wa Julian calendar ambayo ilitegemea mzunguko wa jua pia lakini ilikuwa na makosa katika calculations zake. But Haina msingi wowote na Imani ya kikristo.

Hivyo usipotoshe January mosi si sherehe ya mwaka wa kikiristo. Na Haina Liturujia yoyote katika Kanisa.
 
Sijui kama unajua kuwa huujui huo uhalisia unaoongelea.
Mimi najua uhalisia ambao wewe probably unausoma mitandaoni au kusikia tu, najua vitu vingi kuhusu Zanzibar kuanzia chini kabisa Hadi Baraza lao la wawakilishi, ushawahi kufanya au kuhusika kwenye social experiment au social engineering yyte kuhusu Zanzibar?...
Afrika hakuna mataifa ya kiislam wala kikiristo bali utumwa wa kiakili tena wa kujitakia na kupwakia.
Najua unaumia au unaona ni uchuuzi but zile ni Imani kama zilivyo Imani nyingine duniani, wakristo & waislamu hawajawahi kukuomba ushauri au kukuomba msaada, hivyo Acha kujipa umuhimu kwenye vitu visivyokuhusu...
 
Si kweli. Kama ni taifa la kidini mbona haliongozwi na shehe, amir, Iman, au ayatollah?
Kumbe hujui kitu chochote kuhusu masuala haya...Hivi ushawahi kuishi Zanzibar na kuingia kwenye mifumo Yao na kujua haya Mambo na jinsi wanavyojichukulia?... Achana na masuala ya makaratasi kuwa Tanzania(visiwani) Ni secular state... Zanzibar (wazanzibari) hawajui kutofautisha Kati ya dini na serikali.
 
Ni kweli. Hata wewe sijui kama unajua unachodhani unajua. Siyo lazima kuishi Zanzibar. Ninachoweza kusema ni kwamba naishi katiba. Je, katiba yetu inasemaje kuhusiana na dola na dini? Je, wale wasio waislam huko Zanzibar nao waombe dini zao zipewe mapumziko? Ni suala jepesi la kutumia commonsense. Hii siyo rocket science mwanangu. Unasumbuliwa na vitu viwili, ubishi na ujinga unaouona kama welewa.
 
Mimi najua uhalisia ambao wewe probably unausoma mitandaoni au kusikia tu, najua vitu vingi kuhusu Zanzibar kuanzia chini kabisa Hadi Baraza lao la wawakilishi, ushawahi kufanya au kuhusika kwenye social experiment au social engineering yyte kuhusu Zanzibar?...

Najua unaumia au unaona ni uchuuzi but zile ni Imani kama zilivyo Imani nyingine duniani, wakristo & waislamu hawajawahi kukuomba ushauri au kukuomba msaada, hivyo Acha kujipa umuhimu kwenye vitu visivyokuhusu...
Si kweli. Unaposema unajua vitu vingi kuhusiana na Zanzibar, unaamuaje dhana ya wingi wakati ni relative? Kujua vitu vichache ukaviona vingi ni jambo la kawaida kwa watu wasiojua maana ya kujua na wingi ni nini. Kimsingi, mie sihitaji kujua hivyo vitu vingi vyako bali katiba yetu ya muungano inasemaje kuhusiana na kadhia hii. Period. Nadhani, hapa utaelewa hata kama ni mbishi na mgumu wa kuelewa kkkk.
 
Nigeria sio nchi ya kiislamu kikatiba, lakini mikoa yote yeneye waislamu ilikuwa siku ya mapumziko,
Egypt sio nchi ya kiislamu kikatiba, lakini ilikuwa mapumziko ya kitaifa
Gambia sio nchi ya kiislamu kikatiba, lakini ilkuwa siku ya mapumziko
Lebanon sio nchi ya kiislamu, na ina wakristo wengi kuliko nchi yoyote ya kiirabu, na ilikuwa siku ya mapumziko
Na hizi zote ilikuwa siku ya mapumziko, Mali, Niger, Chad na zipo nyingi tu
Kwanini Zanzibar ikifanya hivyo inakuwa tatizo kwa nyinyi wagalatia?
Mbona mnawalazimisha kuwa siku ya mapumziko pasaka na Christmas, kwani hizo siku zinawahusu nini ?
Acha ubishi. Hapa, tunaongelea nchi na si mikoa vinginevyo na Zanzibar, kwanza tuinyang'anye hadhi ya embedded country na kuifanya mkoa ndipo uje na hoja zako za Pwagu na Pwaguzi. Naamini nimekuelewesha vya kutosha.
 
Mimi najua uhalisia ambao wewe probably unausoma mitandaoni au kusikia tu, najua vitu vingi kuhusu Zanzibar kuanzia chini kabisa Hadi Baraza lao la wawakilishi, ushawahi kufanya au kuhusika kwenye social experiment au social engineering yyte kuhusu Zanzibar?...

Najua unaumia au unaona ni uchuuzi but zile ni Imani kama zilivyo Imani nyingine duniani, wakristo & waislamu hawajawahi kukuomba ushauri au kukuomba msaada, hivyo Acha kujipa umuhimu kwenye vitu visivyokuhusu...
Ni kweli. Unaweza kujidanganya kuwa unajua uhalisia wakati ni zero. Sijaandika andiko hili ambalo, kama uonavyo, limepokelewa na wengi kuwaomba ushauri wa kuwashauri waislam. Andiko linalenga muungano. So simple mwanangu kkk. Huna haja ya kuhemkwa na kufadhaishwa hadi unatoa mapovu. Kkkkk.
 
Ni kweli. Hata wewe sijui kama unajua unachodhani unajua. Siyo lazima kuishi Zanzibar. Ninachoweza kusema ni kwamba naishi katiba. Je, katiba yetu inasemaje kuhusiana na dola na dini? Je, wale wasio waislam huko Zanzibar nao waombe dini zao zipewe mapumziko? Ni suala jepesi la kutumia commonsense. Hii siyo rocket science mwanangu. Unasumbuliwa na vitu viwili, ubishi na ujinga unaouona kama welewa.
Ama kweli wewe hujitambui...unazungumzia katiba, katiba ipi?, unasema katiba yetu, katiba yenu na Nani? au hujui kuwa Zanzibar pia Wana katiba Yao na Mufti mkuu wa Zanzibar anachaguliwa na Rais?.... Hivi hata unajua kuwa kwanini Rais wa Zanzibar anateua Mufti?...
 
Si kweli. Unaposema unajua vitu vingi kuhusiana na Zanzibar, unaamuaje dhana ya wingi wakati ni relative? Kujua vitu vichache ukaviona vingi ni jambo la kawaida kwa watu wasiojua maana ya kujua na wingi ni nini. Kimsingi, mie sihitaji kujua hivyo vitu vingi vyako bali katiba yetu ya muungano inasemaje kuhusiana na kadhia hii. Period. Nadhani, hapa utaelewa hata kama ni mbishi na mgumu wa kuelewa kkkk.
Katiba yenu ipi wakati masuala ya dini Kila mtu anaamua kivyake...Au unajua nini kuhusu mambo ya dini Kati ya Zanzibar na Sisi?...mambo zenji ni magumu kuliko unavyodhani, wewe jihangaishe Tu wakati homework yako hujafanya vizuri
 
Ni kweli. Unaweza kujidanganya kuwa unajua uhalisia wakati ni zero. Sijaandika andiko hili ambalo, kama uonavyo, limepokelewa na wengi kuwaomba ushauri wa kuwashauri waislam. Andiko linalenga muungano. So simple mwanangu kkk. Huna haja ya kuhemkwa na kufadhaishwa hadi unatoa mapovu. Kkkkk.
Wewe umeandika as if unajua Vyote, kumbe unahitaji kujifunza...siku nyingine andika andiko Kwa lugha ya kujifunza na kutaka kujua na sio kama mtu unayejua...Ukishajua kwanini Ofisi ya Mufti ni Taasisi ya umma (serikali)Zanzibar ndo utaelewa na kupata majibu yote, usipoelewa basi Bora Uzi uufunge....
 
Back
Top Bottom