Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?

Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?

View attachment 3610853View attachment 3610857View attachment 3610858
Taratibu, ule, msimamo kuwa nchi haina dini ila watu wake wana dini unaanza kumomonyolewa tena na wale usiowategemea. Naona kama Zenj, taratibu, inaanza kuwa taifa la kiislam. Ni bahati mbaya na hasara kiasi gani. Nilidhani msomi kama Daktari Mwinyi asingekuwa hovyo hivi. Ama kweli, elimu ya mja haiondoi upumbavu wa mhusika. Je, tungoje na Tanzania nzima kuwa taifa la kiislam? Je, hatua hii haivunji muungano japo ushavunjika zamani kwa kukosa maana na mantiki? Zaidi ya hitajio la kuvunja huu muungano wa kinafiki na kinyonyaji, nini kifanyike kuunusuru kama kweli unapaswa kunusuliwa? Je, kwa uchawa, ukihiyo na uzwazwa uliopo, kuna mtanzania mwenye uwezo wa kukemea na kukomesha udini na uhafidhina huu uchwara? Je, na Bara ikitangaza kuwa ni taifa la kibantu lenye dini asilia kinzani na hizi nyemelezi na za kitumwa, itakuwaje? Je inawezekana wakati huu chini ya huyu expert?a ID yako ya zamani tungekujua zaidi ulivyo mjinga wa kiwango cha juu.

View attachment 3610853View attachment 3610857View attachment 3610858
Taratibu, ule, msimamo kuwa nchi haina dini ila watu wake wana dini unaanza kumomonyolewa tena na wale usiowategemea. Naona kama Zenj, taratibu, inaanza kuwa taifa la kiislam. Ni bahati mbaya na hasara kiasi gani. Nilidhani msomi kama Daktari Mwinyi asingekuwa hovyo hivi. Ama kweli, elimu ya mja haiondoi upumbavu wa mhusika. Je, tungoje na Tanzania nzima kuwa taifa la kiislam? Je, hatua hii haivunji muungano japo ushavunjika zamani kwa kukosa maana na mantiki? Zaidi ya hitajio la kuvunja huu muungano wa kinafiki na kinyonyaji, nini kifanyike kuunusuru kama kweli unapaswa kunusuliwa? Je, kwa uchawa, ukihiyo na uzwazwa uliopo, kuna mtanzania mwenye uwezo wa kukemea na kukomesha udini na uhafidhina huu uchwara? Je, na Bara ikitangaza kuwa ni taifa la kibantu lenye dini asilia kinzani na hizi nyemelezi na za kitumwa, itakuwaje? Je inawezekana wakati huu chini ya huyu expert?
Unaogopa nini kutumia ID yako ya zamani?
Unajua kama tutakuona kwa kiasi gani ulivyo mpumbavu na mjinga wa hali ya juu.
Pumbafffff.
Kuna lile gazeti lao humuonesha mara kwa mara akiwa ndani ya uislam. Mara mwinyi akutana na masheikh, mara mwinyi akutana na kadhi wa zanzibar, mwinyi aswali msikiti wa jambiani, yaani ni full coverage ya mambo ya kiislam kana kwamba zanzibar ni jamhuri ya kiislam.
Uwe unaficha ujinga wako.
 
Mr Kafiri kuna uongo kama wa kuuziwa udongo,maji ya upako,mafuta ya upako na chumvi,ili vikusaidie kua tajiri bila kufanya kazi?

Mr Kafiri,kuna uongo kama ule unaambiwa na mchungaji nyanyua simu juu,sema Pesa ingia,ile pesa ziingie kimaajabu? Mr Kafiri Kuna ushirikina kama ule wa mchungaji kusema anafufua wafu? Ndio maana hua mnaitwa Kondoo.
Moja ya mambo unayojua kwa ufasaha ni kutukana
Miaka nenda rudi tunategemea utabadilika utaacha kutukana lakin wapi
 
Moja ya mambo unayojua kwa ufasaha ni kutukana
Miaka nenda rudi tunategemea utabadilika utaacha kutukana lakin wapi
Wewe rais wa vichaa kumbe ile ndio ID yako nyingine!

Hivi hapa JF kuna kichaa kama wewe anayeota kila siku eti aje kua rais?

Kila siku unatuletea hapa hesabu zako za kijinga jinga,ndio maana Red black hua anakwambia fanya kazi acha ujinga,

Halafu unaweza kuonyesha tusi hata moja kwenye hiyo comment yangu uliyoiquote?
 
Wewe rais wa vichaa kumbe ile ndio ID yako nyingine!

Hivi hapa JF kuna kichaa kama wewe anayeota kila siku eti aje kua rais?

Kila siku unatuletea hapa hesabu zako za kijinga jinga,ndio maana Red black hua anakwambia fanya kazi acha ujinga,

Halafu unaweza kuonyesha tusi hata moja kwenye hiyo comment yangu uliyoiquote?
Mimi sijui kutukana wewe endelea kutukana sababu ni bingwa wa kutukana mwisho wa siku matusi yako hayanipunguzii chochote
Keep it up
 
Nyerere alikemea sana vimelea vya udinidini. Hawa viongozi wa siku hizi wanaona shega tu kujinasibu na dini yao serikalini
 
Hivi kumbe hamjagundua kuwa awamu hii ni awamu ya ''wametutawala sana na mfumo Kristo wao sasa ni zamu yetu na wakijifanya kuleta nyunyunyu tutawakomesha''. Trust me, chunguzeni kwa umakini mtaona. Yes, kuna ''makafiri'' wanashirikiana nao, lakini ni kwa kuweka maslahi binafsi mbele na kutojua mkakati mzima. Ni yale yale ya waarabu kuchukuwa watumwa kwa kusaidiwa na wenyeji. Hii nafasi mzee wa Msoga alikuwa anaisubiri kwa hamu kubwa, na wakati wa awamu yake alishindwa kutokana na mazingira na woga. Yeye ndiye mastermind wa kila kitu. ''Mabeberu waliposema kuna ''ukandamizaji wa dini'' hawakubahatisha. Wana majasusi chungu nzima na wanajua mipango ya ndani na malengo yake kuliko wengi wanavyodhani. NB: Kuna nchi za kiarabu zinaratibu mambo kwa usiri sana sana, wameingia ndani kabisa ya mifumo ya usalama wa nchi.
Umeoza akili mpaka tundu la haja kubwa,kama unabisha lipige picha upost
 
Pia hakunaga tuzo ya ujinga wa kuota kua rais kila siku humu JF.
Kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania sio ujinga ni haki ambayo hata wewe unayo urais sio exclusive kwa watu kadhaa ni haki ya kila mtanzania

Kama unadhani kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania ni ujinga basi unasafari ndefu sana kifikra
 
Back
Top Bottom