At yupo je Bara wao rais wao in nani?Huru vipi wakati iko chini ya Tanganyika kama koloni lake? Kwa anayebisha, ajiulize. Kwanini hana hadhi sawa na rais wa muungano?
January mosi inauhusiana nini na Ukristo? Na mkristo aneamuliwa wapi kuisheherekea?January mosi huwa public holiday,ni mwaka mpya wa dini gani?
Hayo ni maoni yako na una uhuru wa kufikiri hivyoWewe labda uwe rais wa vichaa wenzako.
Hii kalenda ni ya nani?January mosi inauhusiana nini na Ukristo? Na mkristo aneamuliwa wapi kuisheherekea?
Ilianzishwa na Papa Gregory XIII.Hii kalenda ni ya nani?
Papa siyo,kwa hiyo ni kalenda ya kanisa?Ilianzishwa na Papa Gregory XIII.
Kwani Shida iko wapi? Uislam umefanya Arab Yote imekuwa tajiri ikiwemo super power IranView attachment 3610853View attachment 3610857View attachment 3610858
Taratibu, ule, msimamo kuwa nchi haina dini ila watu wake wana dini unaanza kumomonyolewa tena na wale usiowategemea. Naona kama Zenj, taratibu, inaanza kuwa taifa la kiislam. Ni bahati mbaya na hasara kiasi gani. Nilidhani msomi kama Daktari Mwinyi asingekuwa hovyo hivi. Ama kweli, elimu ya mja haiondoi upumbavu wa mhusika. Je, tungoje na Tanzania nzima kuwa taifa la kiislam? Je, hatua hii haivunji muungano japo ushavunjika zamani kwa kukosa maana na mantiki? Zaidi ya hitajio la kuvunja huu muungano wa kinafiki na kinyonyaji, nini kifanyike kuunusuru kama kweli unapaswa kunusuliwa? Je, kwa uchawa, ukihiyo na uzwazwa uliopo, kuna mtanzania mwenye uwezo wa kukemea na kukomesha udini na uhafidhina huu uchwara? Je, na Bara ikitangaza kuwa ni taifa la kibantu lenye dini asilia kinzani na hizi nyemelezi na za kitumwa, itakuwaje? Je inawezekana wakati huu chini ya huyu expert?
Eeh kumbe makubwa Sana Sisi hatuna habari?Hivi kumbe hamjagundua kuwa awamu hii ni awamu ya ''wametutawala sana na mfumo Kristo wao sasa ni zamu yetu na wakijifanya kuleta nyunyunyu tutawakomesha''. Trust me, chunguzeni kwa umakini mtaona. Yes, kuna ''makafiri'' wanashirikiana nao, lakini ni kwa kuweka maslahi binafsi mbele na kutojua mkakati mzima. Ni yale yale ya waarabu kuchukuwa watumwa kwa kusaidiwa na wenyeji. Hii nafasi mzee wa Msoga alikuwa anaisubiri kwa hamu kubwa, na wakati wa awamu yake alishindwa kutokana na mazingira na woga. Yeye ndiye mastermind wa kila kitu. ''Mabeberu waliposema kuna ''ukandamizaji wa dini'' hawakubahatisha. Wana majasusi chungu nzima na wanajua mipango ya ndani na malengo yake kuliko wengi wanavyodhani. NB: Kuna nchi za kiarabu zinaratibu mambo kwa usiri sana sana, wameingia ndani kabisa ya mifumo ya usalama wa nchi.
Nani kakwambia hivyo?Papa siyo,kwa hiyo ni kalenda ya kanisa?
Iran is not an Arab country and Iranians are not Arabs, na hata lugha yao sio kiarabu.Kwani Shida iko wapi? Uislam umefanya Arab Yote imekuwa tajiri ikiwemo super power Iran
Arabs as continent not RaceIran is not an Arab country and Iranians are not Arabs, na hata lugha yao sio kiarabu.
Mbona yemen ni maskini wa kutupaKwani Shida iko wapi? Uislam umefanya Arab Yote imekuwa tajiri ikiwemo super power Iran
Sasa papa si ndiyo alianzisha hiyo kalenda,papa ni mkuu wa kanisaNani kakwambia hivyo?
Kama ambavyo namba za Kiarabu, Arab numerals 0, 1, 2, 3 etc (ambazo zilitokea India na kuenezwa na Waarabu) hazimaanishi kwamba kila anayezitumia ni Mwislamu, vivyo hivyo Kalenda ya Gregorian, licha ya kuwa ilianzishwa na kiongozi wa Kanisa Katoliki, haimaanishi kwamba kila anayeitumia ni Mkristo. Asili ya kitu na matumizi yake ya sasa ni mambo mawili tofauti... kalenda na namba hizo zimekuwa mifumo ya kimataifa inayotumiwa na watu wa dini mbalimbali na hata wasiokuwa na dini.Sasa papa si ndiyo alianzisha hiyo kalenda,papa ni mkuu wa kanisa
Hiyo kalenda ya kiislam haipo kwenye Quran,kuna watu walianzisha,lakini inaitwa ya kiislam na imekuumiza Zanzibar kuisherehekea
Shida ipo kubwa. Kipande hiki cha ardhi kimezaliwa watu wenye dini mbalimbali. Hakuna dini moja inayoweza kuchukua hatimiliki ya hiki kipande cha ardhi. Tunaweza kuishi pamoja kwa upendo kila mtu akiabudu akionacho bora kwake ilimradi asimuudhi mwenzake.Kwani Shida iko wapi? Uislam umefanya Arab Yote imekuwa tajiri ikiwemo super power Iran
Papa Hakuianzisha hii calendar ila alifanya marekebisho Kwa ile iliyokuwepo kama scholar mwingine tu, upapa wake haikuifanya calendar kuwa jambo la kiimani na hii iliyopo si kamilifu Ina mapungufu Bado , atatokea scholar mwingine ataidevelop zaidi Anaweza kuwa muislamu( kwasababu inatagemea uchunguzi wa kisayansi na si Imani). Lakini haiuhusiani na Imani Wala hakuna Ibada yoyote ya pekee katika Kanisa eti kusheherekea January mosi hakuna.Sasa papa si ndiyo alianzisha hiyo kalenda,papa ni mkuu wa kanisa
Hiyo kalenda ya kiislam haipo kwenye Quran,kuna watu walianzisha,lakini inaitwa ya kiislam na imekuumiza Zanzibar kuisherehekea