Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?

Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?

Papa Hakuianzisha hii calendar ila alifanya marekebisho Kwa ile iliyokuwepo kama scholar mwingine tu, upapa wake haikuifanya calendar kuwa jambo la kiimani na hii iliyopo si kamilifu Ina mapungufu Bado , atatokea scholar mwingine ataidevelop zaidi Anaweza kuwa muislamu( kwasababu inatagemea uchunguzi wa kisayansi na si Imani). Lakini haiuhusiani na Imani Wala hakuna Ibada yoyote ya pekee katika Kanisa eti kusheherekea January mosi hakuna.
Papa Gregory, Gregorian calendar
 
Papa Gregory, Gregorian calendar
Kama ambavyo namba za Kiarabu, Arab numerals 0, 1, 2, 3 etc (ambazo zilitokea India na kuenezwa na Waarabu) hazimaanishi kwamba kila anayezitumia ni Mwislamu, vivyo hivyo Kalenda ya Gregorian, licha ya kuwa ilianzishwa na kiongozi wa Kanisa Katoliki, haimaanishi kwamba kila anayeitumia ni Mkristo. Asili ya kitu na matumizi yake ya sasa ni mambo mawili tofauti... kalenda na namba hizo zimekuwa mifumo ya kimataifa inayotumiwa na watu wa dini mbalimbali na hata wasiokuwa na dini.
Wewe nimeshakujibu hapa juu.....ukapita kimya kimya.
 
NYUFA YA KWANZA 1995
1. MUUNGANO.

"Ninalolisema kwa wazanzibar nalisema kwa watanganyika Zanzibar wakitaka kujitenga tu kwa Ulevi tu na Ujinga hasa ujinga wa viongozi wao watanganyika watabaji wameduwaa Lo!!!! Wenzetu hawa wanafanyaje wanakwenda zao, watanganyika walioachwa WAMEDUWAA WATABAKI WAMOJA.".

MWALIMU JK NYERERE
 
Wewe rais wa vichaa kumbe ile ndio ID yako nyingine!

Hivi hapa JF kuna kichaa kama wewe anayeota kila siku eti aje kua rais?

Kila siku unatuletea hapa hesabu zako za kijinga jinga,ndio maana Red black hua anakwambia fanya kazi acha ujinga,

Halafu unaweza kuonyesha tusi hata moja kwenye hiyo comment yangu uliyoiquote?
Buda dogo afanye kazi aache ujinga
 
Familia ya mwinyi na kikwete ndio wapo front kwenye islamization of tanganyika
kule Zanzibar walishafanikiwa

kumbe mwinyi mkubwa ndio alikuwa ana ajenda hiyo nyerere akamzuia
kwa Sasa wanafanya watakavyo
Tuhakikishe wanashindwa wanafiki hawa. Heri hata Mwinyi hakuwa rais japo na huyu aliyepo ni wale wale. Hasara na balaa.
 
Hakuna tatizo Zanzibar kuwa taifa la Kiislamu
Ni kweli. Ila haiwezi kuwa sehemu ya muungano ambao nchi yake haina dini. Wavnje muungano kwanza ndiposa waendelee na utumwa wao kiakili na kiroho hata kisiasa kwa ahadi za makapi.
 
Mimi always napenda Kuongea uhalisia ulivyo, Zanzibar ni taifa la kiislamu kama yalivyo mataifa mengine mfano US, UK Haya ni mataifa ya kikristo nk Kwa mataifa mengine, maneno ya kimaandishi ya kuwa ni secular ni uongo, kwenye field mambo hayako hivyo...Yale maneno ya Tanzania Ni secular iko Huku kwetu Tu lakini si Zanzibar, Sisi tunawalazimisha wale Jamaa, suluhisho ni Kila mtu afe na chake au vipi?
Si kweli. Kama ni taifa la kidini mbona haliongozwi na shehe, amir, Iman, au ayatollah?
 
Comoro na Somalia ni mataifa ya Kiislam tena majirani zetu ila sioni Uislam umewadaidiaje katika kujiletea maendeleo.
Wacomoro kila siku wanazamia Mayotte ili wakatawaliwe na kafir Macron
Yamepata nini zaidi ya kuwa utumwa mtupu?
 
Kwa lipi?

Uovyo wake ni upi?

Umeenda mbali sana kwa chuki za kidini kwenye eneo ambalo halipaswi kihusishwa na dini

Ikiwa huu muungano ushavunjika kama unavyodai, unauliza nini kubunjika kwake? Ukimuona mtu amekufa kwa kula sumu halafu ukauliza swali "jee mtu anakufa kwa kula sumu?" Swala hili linamfanya muulizaji sonekane mjinga (ignorant), au mpumbavu, au limbukeni. Tujitahidi kuangalia athari ya tunachoandika kabla hatukuandika.
Unachotaka kuwasilisha ni nini hapa maana naona unaandika bila kufikiri achia mbali kuelewa unachoandika ambacho pia hakieleweki?
 
... uzi uliojaa viashiria vya kutapatapa kwa mwanasiasa aliyeishiwa hoja na sasa anauparamia udini kama silaha yake ya mwisho!
POLE! 😅
POLE WE. Hakuna ujinga kama huu ambao nimewahi kuusoma hapa kusema ule ukweli. Kweli, mtumwa ni mtumwa hata umfanyeje, siku zote atabakia kuwa mtumwa.
 
Hivi kumbe hamjagundua kuwa awamu hii ni awamu ya ''wametutawala sana na mfumo Kristo wao sasa ni zamu yetu na wakijifanya kuleta nyunyunyu tutawakomesha''. Trust me, chunguzeni kwa umakini mtaona. Yes, kuna ''makafiri'' wanashirikiana nao, lakini ni kwa kuweka maslahi binafsi mbele na kutojua mkakati mzima. Ni yale yale ya waarabu kuchukuwa watumwa kwa kusaidiwa na wenyeji. Hii nafasi mzee wa Msoga alikuwa anaisubiri kwa hamu kubwa, na wakati wa awamu yake alishindwa kutokana na mazingira na woga. Yeye ndiye mastermind wa kila kitu. ''Mabeberu waliposema kuna ''ukandamizaji wa dini'' hawakubahatisha. Wana majasusi chungu nzima na wanajua mipango ya ndani na malengo yake kuliko wengi wanavyodhani. NB: Kuna nchi za kiarabu zinaratibu mambo kwa usiri sana sana, wameingia ndani kabisa ya mifumo ya usalama wa nchi.
FBI wa Buzwagi unalopolopo tu
 
Mimi always napenda Kuongea uhalisia ulivyo, Zanzibar ni taifa la kiislamu kama yalivyo mataifa mengine mfano US, UK Haya ni mataifa ya kikristo nk Kwa mataifa mengine, maneno ya kimaandishi ya kuwa ni secular ni uongo, kwenye field mambo hayako hivyo...Yale maneno ya Tanzania Ni secular iko Huku kwetu Tu lakini si Zanzibar, Sisi tunawalazimisha wale Jamaa, suluhisho ni Kila mtu afe na chake au vipi?
Sijui kama unajua kuwa huujui huo uhalisia unaoongelea. Afrika hakuna mataifa ya kiislam wala kikiristo bali utumwa wa kiakili tena wa kujitakia na kupwakia.
 
Back
Top Bottom