Shehe mmoja alikwenda kunyoa kwa Kinyozi, na wakati akiendelea kunyolewa Shehe alitoa ushuzi (alijamba) ndipo, Kinyozi akaguna kwa sauti kubwa na maongezi yao yakaendelea hivi:
Shehe: Yakhe, mbona waguna hivyo kulikoni?
Kinyozi: Naona hali ya hewa imebadilika ghafla!
Shehe: Basi huenda ikanyesha mvua ya Mavi.
Kinyozi: KWI KWI KWI KWIIII...anacheka!!!!