Shehe na Kinyozi

Shehe na Kinyozi

Domhome

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
3,198
Reaction score
3,950
Shehe mmoja alikwenda kunyoa kwa Kinyozi, na wakati akiendelea kunyolewa Shehe alitoa ushuzi (alijamba) ndipo, Kinyozi akaguna kwa sauti kubwa na maongezi yao yakaendelea hivi:

Shehe: Yakhe, mbona waguna hivyo kulikoni?

Kinyozi: Naona hali ya hewa imebadilika ghafla!

Shehe: Basi huenda ikanyesha mvua ya Mavi.

Kinyozi: KWI KWI KWI KWIIII...anacheka!!!!
 
Mh!Jamaa hana ustaarabu hata kidogo!unapotaka kupumua ni vema ukaenda mbali kidogo na watu,ili usihalibu hali ya hewa!!
 
Back
Top Bottom