Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Tunasubiri kwa hamu kubwa ili atuthibitishie pale aliposema uchaguzi hautafanyika kwani kuna mgombea mmoja kati ya waliokua wanagombea Urais atakufa...non sense.
Ushirikina wapi?,kwani hata ushirikina anaujua?,ni utapeli tu anaofanya!!ushirikina tu hana lolote huyo sheikh ubwabwa
Jamani huyu mzee nimesikia tetesi anakuja na tv show yake kuonyesha yote aliyotabiri na yametokea, hivyo atawaproovia watz kuwa yeye ni mwanzo na mwisho wa UTABIRI kupitia TV show yake...kaeni macho kushuhudia SHEHE YAHYA akiwaonyesha mambo yake...
naona vipindi vya comedy vinaongezeka katika luninga zetu.....shehe yahaya (ze comedy) na askofu gwajima (orijino comedy)
tutajua nani zaidi kati ya tapeli na msanii.....
Mtumishi wa mungu Gwajima siyo Askofu bali ni Mchungaji lakini kikubwa nataka kukushauri usitafute laana kwa kuwakashifu watumishi wa mungu.Mungu mwenyewe atashughulika naye kama anafanya usanii lakini wewe endelea na yale yaliyo yako na ya mungu mwachie mungu maana yeye ndiye anayemjua.
Ushirikina wapi?,kwani hata ushirikina anaujua?,ni utapeli tu anaofanya!!
Jamani huyu mzee nimesikia tetesi anakuja na tv show yake kuonyesha yote aliyotabiri na yametokea, hivyo atawaproovia watz kuwa yeye ni mwanzo na mwisho wa UTABIRI kupitia TV show yake...kaeni macho kushuhudia SHEHE YAHYA akiwaonyesha mambo yake...
MAJIBU yote mtapata hilo halina shaka, shehe wa ukweli anakuja kivingine maana watu wanampigia kelele mno, kila swali litajibiwa hivyo msiwe na hofu..............
Kumbe Malaria Sugu ni mgawa dawa kwenye kilinge cha shehe yahaya husseni pale magomeni