Shehena ya simu yaibiwa uwanja wa ndege

Shehena ya simu yaibiwa uwanja wa ndege

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Taarifa zilizoingia sasa hivi zinasema kwamba kuna shehena kubwa ya simu za mkononi zimeibiwa uwanja wa ndege ya JK nyerere , watu walioiba simu hizo bado wanatafutwa toka mapema leo asubuhi.

Kama utatokea kuuziwa simu yoyote kutoka UK au ambayo huitambui uzuri tafadhali toa taarifa kituo cha polisi ili kufanikisha zoezi hili
 
Ni mali ya mfanyabiashara jina lake sijaweza kulipata lakini airport wale polisi wa pale , migration na wengine wa usalama hawako makini saana na wengine ndio dili zao kuiba vutu vya watu na kwenda kuuza nje kwa bei rahisi na za kutupa
 
Msala inabidi wawajibike..........wote waliokuwa zamu siku hiyo....
 
shy yeye alikuwa anazipeleka wapi na zinatokea wapi??kama zinatoka uk kuja dar huoni zmempata mwenyewe mzawa pengine zingeenda kugawiwa wazungu migodini

wacheni watanzania wale kwao maana ufalme wa duniani ni wao

mi sioni tatizo kama atendelea kugawa kwa wazawa
 
ilikuwa imepakiwa katika shirika la ndege la kenya leo nimefika hapa uwanja wa ndege kuuliza hili na lile na kufanya uchunguzi zaidi wengi wanasema kwamba ni kawaida vitu kuibiwa ila sio kwa wingi namna hiyo na inawezekana vitu hivyi viliibiwa kenya na sio tanzania kwa sababu walibadilishiwa ndege uwanjani hali ndio iko hivyo hiyo ni taarifa kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa sehemu kadhaa hapa uwanja wa ndege - mengine nitaandika zaidi katika makala fupi ya jinsi watu wanavyoiba vitu uwanja na ndege wanapouza pamoja na majina ya wengi ya walanguzi wa hapa uwanjani
 
? ??????????????????????????????????????? una uhakika ???????????

Kama usku na mchana mkuu mwenaku.
Iwapo mafisadi wanaiba hela za uma na kutokufanywa lolote,
nd'o iwe walalahoi?...Kwa ufupi ni mtindo wa kunyakua...ukishikwa
bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom