Shehena za mizigo zinavyozidi kumiminika bandari Mtwara

Hiyo shehena Iko wapi jamani? Kujimwambafy sio kuzuri...
 
Ukimsiliza utagundua meli zote zinazokwenda mtwara ni kwa ajili ya Korosho tu.. Hivi hatuna mizigo mingine tofauti ya Korosho??.. Hapo ndio tujifunze na tuangalie nanma ya kuongeza uzarishaji kwenye kila kanda au mikoa yetu ili hizi bandari ziwe busy..
 
Labda bandari ni special kwa ajili ya koroshow

Ova
 
Back
Top Bottom