Ahsante Zumaridi kwa taarifa, ila Iran sio Hamas wala sio Gaza, huyo Bwana wako awe makiniMaandalizi ya shambulio la Israel dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran yanasemekana yanakaribia kukamilika, huku hatua za mwisho, ikiwa ni pamoja na upelekaji wa silaha na mipango ya uendeshaji, zinaendelea kwa sasa, kulingana na Channel 12.
Kuanzia mwezi uliopita ndege kubwa za mizigo zimetua huko Israel na Mashariki ya kati kwa ujumla. Shehena hizo ni katika kufanikisha shambulio tarajiwa la Israel dhidi ya vinu vya kinyuklia za Iran kama mazungumzo yatashindikana kati ya Iran na Marekani.
View attachment 3362607
Na wew unaamini??Project yote ya miaka 40 ya kujilinda inakuja kuharibika Kwa siku moja....Iran nawaonea huruma Sana
hata Saddamu husen mlisemaga hivyo hivyoAhsante Zumaridi kwa taarifa, ila Iran sio Hamas wala sio Gaza, huyo Bwana wako awe makini
Acha tusubiri tuone itakuajeNa wew unaamini??
Iran sio Tanzania jikite kwenye kampaini ya no "reforms no election" Iran sio wapumbavu kama Tanzania tuna shindwa hata kutekereza democrasia ya ndani eti Israel ije iwapinge kwa siku moja, hamna technology ambao inaikosa tangu mwaka 2018 US na Israel wanajua Iran ina siraha za nuclear tayari.Project yote ya miaka 40 ya kujilinda inakuja kuharibika Kwa siku moja....Iran nawaonea huruma Sana
Sasa mtu anapigwq na dunia nzima , anakubali tu yaishe, Marekani haendi vitani peke yake lazima afuatane na mashoga wenziwe na wanavamia nchi wakati wao nchi zao zinaendelea na pirika kama kawaida, lazima mtu atashindwa, halafu kwanza wanakuekea vikwazo vya kiuchumi ukishakua dhaifu ndo wanakuvamiahata Saddamu husen mlisemaga hivyo hivyo
Maandalizi ya shambulio la Israel dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran yanasemekana yanakaribia kukamilika, huku hatua za mwisho, ikiwa ni pamoja na upelekaji wa silaha na mipango ya uendeshaji, zinaendelea kwa sasa, kulingana na Channel 12.
Kuanzia mwezi uliopita ndege kubwa za mizigo zimetua huko Israel na Mashariki ya kati kwa ujumla. Shehena hizo ni katika kufanikisha shambulio tarajiwa la Israel dhidi ya vinu vya kinyuklia za Iran kama mazungumzo yatashindikana kati ya Iran na Marekani.
View attachment 3362607