Sheikh Abubakary Zubeir; Fungeni siku tatu kuombea taifa

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir, amewataka Waislamu Nchini kufunga kwa siku tatu kuanzia kesho hadi Jumamosi, huku wakimuomba Mwenyezi Mungu aliepushe Taifa na mabalaa na kulijalia mvua yenye kheri na baraka.

Wito huo umetolewa kufuatia tahadhari za hali ya hewa, ambapo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu uwezekano wa hali ya El Niño, inayoweza kuathiri mwenendo wa mvua katika maeneo mbalimbali Nchini.

Sheikh Zubeir amewataka Waislamu kutumia siku hizo tatu kumuelekea Mwenyezi Mungu kwa dua na ibada, wakimuomba aliepushe Taifa na majanga, maafa na mabalaa, huku mvua zitakazonyesha zikiwa za manufaa kwa Wananchi, mifugo, kilimo na mazingira.
1788957133753.png
 
Anawaaambia wavaa kobazi wenzie si huo muda wa kipumbavu hatuna kabisa😠😠😠😠😠😠😠
 
Hizo dua haziwezi kuzuia el nino, huko ni kujichosha tu kiimani. El nino inaweza kuwepo au isiwepo kwa mujibu wa utabiri wa hali ya hewa, ni utabiri tu
 
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir, amewataka Waislamu Nchini kufunga kwa siku tatu kuanzia kesho hadi Jumamosi, huku wakimuomba Mwenyezi Mungu aliepushe Taifa na mabalaa na kulijalia mvua yenye kheri na baraka.

Wito huo umetolewa kufuatia tahadhari za hali ya hewa, ambapo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu uwezekano wa hali ya El Niño, inayoweza kuathiri mwenendo wa mvua katika maeneo mbalimbali Nchini.

Sheikh Zubeir amewataka Waislamu kutumia siku hizo tatu kumuelekea Mwenyezi Mungu kwa dua na ibada, wakimuomba aliepushe Taifa na majanga, maafa na mabalaa, huku mvua zitakazonyesha zikiwa za manufaa kwa Wananchi, mifugo, kilimo na mazingira.
View attachment 3666717

Kuna nini shekhe wangu? Maana daaah
 
Kumuomba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, azuie janga hili ili watu wake wasipatwe na maafa, ni contradiction.

Mungu huyo, kama yupo kweli, alitakiwa kujua haya maafa yanakuja, na kuyazuia, kabla ya kuombwa, kwa kuwa ana upendo mkuu.

Yani baba mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, unaona janga linamkaribia mwana wako unayempenda, halafu unaweza kulizuia janga hilo, na mwanako unampenda, kwa nini unasubiri mpaka uombwe ndiyo ulizuie hilo janga?
 
Back
Top Bottom