Sheikh Abuu: Tujihadhari, amani inaweza kuvunjika kupitia mijadala ya kimadhehebu inayoendelea

Sheikh Abuu: Tujihadhari, amani inaweza kuvunjika kupitia mijadala ya kimadhehebu inayoendelea

Wazee wa mji waliomkaribisha Julius Nyerere katika mji wa Dar es Salaam huku wakimpa full support waweze kwa pamoja kumgoa mkoloni .

Inashangaza kuwa kizazi chao wapigania uhuru, mwaka huu 2023 yaani watoto, wajukuu na vitukuu vyao sasa wamegeuka kuwa mawakala na kuwakubatia wakoloni na mabeberu.

Picha wazee wa TANU wakiwa na kijana wao Julius Nyerere mwaka 1954
View attachment 2661459
hawa walikosa tu elimu, ila wangekuwa na elimu wangemfukuzia mbali.Mungu hakupi vyote.
 
28 July 2023

Bukoba, Tanzania

Sheikh Ally Kadogoo - CHADEMA ni chama siasa kinaondoa mioshi ya mwenge katika fikra za waTanzania



Sheikh Ally Kadogoo awakaba koo CCM kutumia jumuiya zao rasmi za CCM kama UVCCM, WAZAZI, UWT na jumuiya zake za chama dola kongwe zisizo rasmi zilizo anzishwa CCM kueneza sumu mbaya ya propaganda za udini.

Sheikh Ally Kadogoo anasisitiza kuwa CHADEMA ni chama thabiti cha kisiasa kinachisaidia kuondoa moshi wa mwenge katika akili za waTanzania ili waweze kuona mambo kisawasawa bila kuathirika na propaganda za CCM chama dola kongwe.
 
Back
Top Bottom