Sheikh Abuu: Tujihadhari, amani inaweza kuvunjika kupitia mijadala ya kimadhehebu inayoendelea

hawa walikosa tu elimu, ila wangekuwa na elimu wangemfukuzia mbali.Mungu hakupi vyote.
 
28 July 2023

Bukoba, Tanzania

Sheikh Ally Kadogoo - CHADEMA ni chama siasa kinaondoa mioshi ya mwenge katika fikra za waTanzania


Sheikh Ally Kadogoo awakaba koo CCM kutumia jumuiya zao rasmi za CCM kama UVCCM, WAZAZI, UWT na jumuiya zake za chama dola kongwe zisizo rasmi zilizo anzishwa CCM kueneza sumu mbaya ya propaganda za udini.

Sheikh Ally Kadogoo anasisitiza kuwa CHADEMA ni chama thabiti cha kisiasa kinachisaidia kuondoa moshi wa mwenge katika akili za waTanzania ili waweze kuona mambo kisawasawa bila kuathirika na propaganda za CCM chama dola kongwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…