Sheikh adai anafturisha Majini

Kwa Muslim siyo story, kwasababu wanaamini Majini ni viumbe wa mungu na kila binadamu anajini wake.......so ni jambo la kawaida sana kama umekaa karibu nao kama huna interaction nao hilo jambo litakusumbua sana
 
Ukikaa chini vzr ukawaza hizi dini,,,, Acha tu ! Kuna mengi tusiyoyajua ! Kikubwa kila mtu aendelee kuwa na iman yake
 
Kwa Muslim siyo story, kwasababu wanaamini Majini ni viumbe wa mungu na kila binadamu anajini wake.......so ni jambo la kawaida sana kama umekaa karibu nao kama huna interaction nao hilo jambo litakusumbua sana
Ni kweli
 
Wala haiitaji kushangaa dini yenyewe inawakubali na ni sehemu muhimu sana kwa imani yao hao mapepo. Ndiyo maana wanasema wapo mapepo wazuri.Dini kidogo uganga kidogo
Ni wenzao hao
 
Haya mambo ni mazito mno. Kwanini asiwatumie hao majini tukaondokana na umaskini nchini? Jini mmoja si anaweza fanya kazi za watu 10?
 
Majini kwenye dini ya haki dini ya mudy mbona ni kitu cha kawaida. Wanaingia mpaka masjid kuswali. Jamaa kanifurahisha sana, “eti jini kaenda kununua dawa za asili”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…