Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Dhubutu yako, hawez kitu kama hiko ndio ujue ndio ujanja ujanja wa mjini na story za kusadikikaHaya mambo ni mazito mno. Kwanini asiwatumie hao majini tukaondokana na umaskini nchini? Jini mmoja si anaweza fanya kazi za watu 10?