GE2025 Sheikh Alhad: Kijana usishawishike kuharibu nchi yako maandamano siku ya uchaguzi

GE2025 Sheikh Alhad: Kijana usishawishike kuharibu nchi yako maandamano siku ya uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama kuna mtu yupo karibu na huyo sheikh ampelekee sahani ya ubwabwa ili aache kupiga kelele.
 
Halafu huu umaskini wa kutisha ni wa common citizens tu.
Wakenya wenzetu ambao hawakuingizwa kwenye ujamaa mpaka leo wametuacha mbali.

Samia ameletwa na muumgano uliosasisiwa na Mwalimu Nyerere.
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum amewataka vijana kutokubali kushawishika kuiharibu nchi yao kwa kufanya vitu visivyofaa kama maandamano siku ya uchaguzi.


Aache ujinga hapa.

Maandano ya AMANI hayawezi kuharibu amani wala kuharibu nchi. Nchi inaharibiwa na MAFISADI ambao wanang'ang'ania madaraka na kuhamisha magoli kila siku kufit matakwa yao. Sasa kama mtu una akili utawezaje kukubali kuwa mtu atakuja na maridhiano ndani ya siku 100 baada ya uchaguzi. Kama tayari unajua kuna tatizo kwa nini usilitatue kwanza...!! HUU NI UTAPELI WA KISIASA.
 
Huyo shekh aliwahi kwenda sehemu yoyote akakemea maovu ndani ya nchi hii, yaani namaanisha kipindi chore hicho haya yakisemwa na kuwekwa hadharani yeye alikuwa wapi ndo aje kutuweka busy leo ..kwanza katumwa na nani?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Siku akiongelea ufisadi, utekaji na mauaji nitamsikiliza ila kwa sasa namuona kama vidampa wengine wa serikali .
Sheikh Alhad Mussa.jpeg
images (9).jpeg
 
Back
Top Bottom