Sheikh Alhad Mussa: Marekani iwakemee maseneta waliosema Tanzania si salama na baadhi ya dini zinakandamizwa

Sheikh Alhad Mussa: Marekani iwakemee maseneta waliosema Tanzania si salama na baadhi ya dini zinakandamizwa

Machawa hawa ni kuchomwa Moto tu.damu za watanganyika zaidi elf kumi zinawalilia sawa yao ni Israeli na Marekani.Trump ni mfalme wa amani njoo utusaidie
 
Kiki wangeenda na beat za mioyo ya waTz wanavyotaka.

Lakini kupinga kauli zilizotolewa kulaani mauaji na utekaji wa raia, watu watamuona kama mlamba matrako ya viongozi, mtu asiye na maana yoyote kwenye mtanziko tulionao kwa sasa!

Nashangaa, wanashindwaje kwenda na upepo wa mazingira hawa watu jamani?

Enhe uzungumze maneno yanayoumiza watu hasa waliofiwa na ndugu zao kutokana na ubaradhuli wa Serikali hii, umelenga kupata nini kwa matamshi yako haya ya kuchukiza wee Shehe ubwabwa?

Utakuja kuwaambia nini waTz baada ya utawala huu haramu kung'oka?
Mashehe bwana
 
Shekhe kama huyu ndiye anaudhalilisha uislam. Ni ukweli usiopingika kuwa kwenye utawala huu, wakristo wametengwa na kunyanyaswa na kufanyiwa uharamia wa ajabu:

Kuna mapadre wametekwa.

Katibu mkuu wa TEC amenusurika kuuawa.

Makanisa ya Ufufuo na uzima yalifungiwa.

Mashekhe ubwabwa wamekuwa wakitoa kauli za kuwakata vichwa wanaotegea haki, wakiwalenga wakristo.

Tume zote zinazoundwa na wauaji zinaongozwa na waislam ili kutetea mauaji.

Wananchi wa kawaida hawana chuki za kidini, lakini watawala wameonesha chuki za wazi dhidi ya wakristo, hasa Kanisa Katoliki na Kanisa la Uzima na ufufuo, kwa sababu tu viongozi wa makanisa hayo wamekemea utekaji na mauaji.
 
Back
Top Bottom