Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.

Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.

Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.


CCM kumekucha kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom